Lukuvi awabwatukia maafisa afya dsm

Lukuvi awabwatukia maafisa afya dsm

Mzito Kabwela

Platinum Member
Joined
Nov 28, 2009
Posts
18,908
Reaction score
7,752
Nasikiliza Clouds FM sasa hivi, Lukuvi anawakemea maafisa afya na haya ndio niliyojaaliwa kuwasikia na kuyaandika jamvini...

Kwenye hotel mnakagua sana.
Saa mnazokwenda ni zilezile mnazokuwa na njaa zenu
Mnakagua vikombe vya chai
Mnaonja michuzi
Mnapewa vyakula mkishakula mnaondoka hamfanyi chochote.
Kwenye mitaro na mifereji hamkagui.

Ninachojiuliza, Ukali wa Lukuvi dhidi ya uchafu ulikuwa wapi siku zote hadi awakaripie watendaji wake leo miezi mitatu kabla ya uchaguzi? Haiwezekani haya yakawa ni makelele ya kisiasa?
 
Back
Top Bottom