Baada ya kipigo cha leo kocha ajiuzulu.


Mu-sir

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Messages
3,629
Likes
467
Points
180

Mu-sir

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2010
3,629 467 180
Wakuu baada ya Timu ya taifa ya kenya kufulia kwenye mechi zake zote sasa kabla ya mechi ya leo dhidi ya Uganda kocha wa timu ya taifa ya Kenya bwana JACKOB MULEI aliwaambia wachezaji wake kuwa endapo watapoteza mechi hiyo basi atajiuzulu kama kocha mkuu na hatimaye amefanya hivyo baada ya kupokea kipigo kingine cha 2-0 kutoka kwa waganda. Source BBC-Swahili.
 

Forum statistics

Threads 1,204,491
Members 457,348
Posts 28,160,765