Karibuni cbe- welcome fresher.

MwanaCBE

JF-Expert Member
Sep 23, 2009
1,771
804
Kwa moyo mkunjufu kabisa napenda kuwakaribisha wanajf wote wanaoweza kufika kilimani club dodoma leo kuhudhuria sherehe ya kuwakaribisha wanachuo wa mwaka wa kwanza CBE Dodoma.
 
Thnx kaka...
Ilikua jana...
Karibuni sana cbe dodoma, sie tumemaliza mwaka huu hapo..
 
Back
Top Bottom