Nimekuwa nikiona watuhumiwa wengi wakiachia mitabasam mpaka basi ilhali wengine ni wahalifu kweli. Tangu watuhumiwa wa epa, liyumba, zombe, mramba, yona, muro, n.k. Kuna kifungu kinawataka...
JERRY OKUNGU
An east african perspective
Last week I was itching to pen a scathing attack on the Kenyan MPs that went to Naivasha to redraft the draft of our impending constitution. Had it not...
Jamani ndugu zangu wanaJamii Forums. Nimepokea taarifa za kifo cha mtoto wa Simba wa Vita- Rashid Mfaume Kawawa, Habiba Kawawa.
Habiba ambaye alikuwa kipenzi cha Mzee Kawawa, amefariki Hospitali...
Hii sijui tuiite simu yenye bunduki au ni bunduki yenye simu..anyway ni vizuri tukajionea sehemu teknolojia inapotupeleka.,ni changamoto kubwa kwa wana usalama.
Wakuu nina taarifa imenifikia muda wa dk mbili zilizopita kuwa Mh Suleiman Sadick ananunuwa magazeti yote ya Ijumaa kwa kuwa yameandika skendo yake ya Kumuita Amosi Makala kuwa ni malaya katika...
Kuna ripoti inayohusisha Marekani na Maafa yaliyotokea kule Haiti. Kama yaliyopo kwenye hii ripoti ni ya kweli na Marekani imehusika basi dunia sio mahali salama tena ya kuishi.
Isome kwa undani...
Ndugu wadau
Nimekerwa sana na namna polisi wanavyoliendesha suala la Jerry Muro hasa kamanda Kova ambaye anatafuta cheap popularity kupitia sakata hilo.
Alianza kwa kusema Jerry muro ametishia...
Kuna habari kwamba mchana huu katika eneo la kitumbi Mkoani Tanga kumetokea ajali mbaya ikihusisha basi la chatco lililokuwa likitokea Dar pamoja na Fuso, vifo vipo pamoja na majeruhi,tunaendelea...
Kitendo cha watu kuingia makao makao makuu ya polisi na kutega bomu inasikitisha lakini kikubwa ni inatia mashaka juu ya uwezo wa jeshi la polisi na vyombo vya usalama kwa ujumla, hii inatutisha...
Wadau, leo wakati nakuja mjini asubuhi kulitokea kitendo ambacho kilishangaza na kustua abiria wengi katika daladala tuliyopanda... Hivyi unafahamu kuna style imeibuka kwa makonda kubeba shilingi...
Nina hamu sana ya kucheza tena huu mchezo. Nakumbuka enzi hizo tulikuwa tunakusanya mchanga, tunatengeneza kama ka mlima flani halafu tunachomeka kijiti juu katikati. Halafu tunaanza kuula kidogo...
Uasherati maana yake ni uzinifu baina ya watu wawili ambao hawakuoana kisheria. Madhara ya uzinifu ni makubwa ikiwa ni pamoja na kuleta fitina, ugomvi na hata kuuwana. Maradhi yanayoletwa na...
WARNING: This post contains graphic images of dead bodies and injured survivors.
A man covers his mouth as the stench dead bodies fills the area outside near a destroyed building on January...
Askari huyo aitwaye BWIRE amekutwa amekufa na kufukiwa kwenye shimo ambalo hutumiwa na wapasua mbao ktk eneo la Ibera wilaya ya Muleba Mkoani Kagera.
Tukio hili limetokea ndani ya miezi miwili...
Alikuwa kwenye matembezi yake huko Ibera na alitakiwa kurudi kazini lakini kwa muda wa siku tatu hakuonekana hadi alipo kutwa akiwa amekufa na kufukiwa kwenye shimo wanalotumia wapasua mbao...
Wakuu,
Naamini moja ya njia nzuri kwa Rais aliyeko madarakani katika kuwasiliana na watu wake ni kuwahutubia kila mwezi (ikiwezekana hata kila wiki) kuhusu masuala mbalimbali ya kitaifa na nini...