Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jiji la Mbeya lageuzwa 'shamba la bibi' KWA serikali Shilingi milioni 68.2 ni pesa kidogo sana, na kwa mafisadi hiyo sio pesa kabisa kwao kwani inawatosha kununulia whisky tu, lakini kwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mkapa anataka azomewe vipi zaidi? HIVI karibuni jina la Mkapa lilirejea kupamba tena kurasa za magazeti yetu kadhaa nchini. Mara ya kwanza ilikuwa ni kwenye kilele cha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wezi Wapora Duka na Kumsahau Mtoto Wao Monday, March 01, 2010 5:24 AM Polisi nchini Marekani wanawatafuta wezi waliovamia duka moja la madini na vito vya thamani na kuiba kabla ya kukimbia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MKAZI wa Kijiji cha Bahaba wilayani Kondoa mkoani Dodoma, Degera Tamba (23), amefariki dunia baada ya kuchomwa mshale tumboni na watu wasiojulikana baada ya kumuhisi kuwa ni digidigi. Hayo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
BAADA ya Mchungaji wa Kanisa la Uponyaji, Edward Kishimbo kukamatwa na polisi kwa kukutwa akijiunganishia na kutumia umeme wa Shirika la Umeme (Tanesco) katika kanisa lake isivyo halali, waumini...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
WAZIRI wa Nishati na Madini, William Ngeleja amempa saa 24 Meneja wa Mamlaka ya Maji Wilaya ya Sengerema, Thomas Mwenda kuhakikisha kuwa mradi wa maji wa Nyamazugo unasambaza maji haraka kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MBUNGE wa Maswa, John Shibuda, amemtaka Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, kufanya ziara wilayani humo, ili kuisafisha kutokana na kukithiri kwa vitendo vya rushwa kama alivyofanya katika Wilaya ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
"Habari zinaeleza kuwa jioni ya leo Watu 22 wanahofiwa kufa papo hapo na wengine zaidi ya 40 kujeruhiwa vibaya kufuatia ajali mbaya ya basi iliyotokea maeneo ya Nzega-Tabora wakati likielekea...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
At a time when many his age would thank their stars for being able to acquire a first degree and some dare to acquire a second one instead of looking for a job, Dr. Nkem Karl Omebere-Iyari has...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
AT least 24 people have died and 56 others injured after a bus they were travelling in from Arusha to Mwanza overturned after a tyre burst in Nzega District yesterday. Tabora Regional Police...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Abiria wapatao 180 wamelazimika kulala mahotelini hapo jana kufwatia ndege ya klm kushindwa kuruka kutokana na technical problem,akiongea kwa huzuni kubwa manager wa klm tanzania alisema kweli...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wana JF, TUKIO HILI LILITOKEA 27/02/2010 Last week nilikuwa napita arusha nikakutana na wimbi la wizi ambalo wao ni kuvamia maeneo ya Glossary, Bar, Maduka, na majumbani Na wakija ni wako kundi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mambo hadharani kama hivi: Hongera Bwana Mpande Home Boy wa JK na Mmiliki wa Millenium Hotel Bagamoyo. Hongera Samueli Meneja Masoko wa ATC, bila ya shaka Mkuu wa Kaya kauona utendaji wako mzuri...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
YouTube- WORLD LARGEST SNAKE FOUND DEAD!
0 Reactions
37 Replies
20K Views
WATU wanne wanaotuhumiwa kuwa majambazi wameuawa na Polisi mkoani hapa walipokuwa wakifanya jaribio la kutoroka mikononi mwa polisi. Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Zelothe Stephen alisema jana...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
MTU mmoja anayesadikiwa kuwa ni jambazi wilayani Maswa, amewakimbia polisi waliokuwa wamemkamata kwa tuhuma za ujambazi huku akiwa na pingu mikononi. Tukio hilo lilitokea juzi wakati kundi la...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Mwanamke Aliyesingizia Kubakwa Atupwa Jela Biurny Peguero Thursday, February 25, 2010 2:00 AM Mwanamke wa nchini Marekani aliyemsingizia mwanaume asiye na hatia kuwa amembaka na kusababisha...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakati JK akionya kuhusu viongozi wanaonunua uongozi kuna wanaomsuta kwamba hana 'moral authority' kuzungumzia suala hilo kwani hata yeye mwenyewe na watu wake wengi wanaomzunguka walipata uongozi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mgogoro kati ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) na waumini wa Kanisa la Full Gospel Fellowship kuhusu kupitisha njia ya umeme wa msongo wa Kilovoti 132 mbele ya kanisa hilo, umechukua sura...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Taarifa za uhakika kutoka ndani ya Benki ya Taifa ya Biashara zinasema wizi mkubwa wa mamilioni ya shilingi ulioanza mwaka juzi hautokoma kwa kuwa benki hiyo imekuwa ikiwalipa watumishi wa ngazi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…