JK ana 'moral authority' ya kukemea WANAONUNUA uongozi?

MzeePunch

JF-Expert Member
Jun 8, 2009
1,412
203
Wakati JK akionya kuhusu viongozi wanaonunua uongozi kuna wanaomsuta kwamba hana 'moral authority' kuzungumzia suala hilo kwani hata yeye mwenyewe na watu wake wengi wanaomzunguka walipata uongozi kwa njia hiyo hiyo.

Sijui Great Thinkers mnalionaje hili.
 
Back
Top Bottom