JK Ateua Bodi Mpya Za TIPER Na BP

Superman

JF-Expert Member
Mar 31, 2007
5,695
1,696
Mambo hadharani kama hivi:

Hongera Bwana Mpande Home Boy wa JK na Mmiliki wa Millenium Hotel Bagamoyo. Hongera Samueli Meneja Masoko wa ATC, bila ya shaka Mkuu wa Kaya kauona utendaji wako mzuri wa kuongeza Masoko ATC.

attachment.php
 
Attachments

  • DSC05741.jpg
    DSC05741.jpg
    99.7 KB · Views: 192
Huyu Mrindoko ndiye yule aliyetajwa kwenye Kamati Teule ya Bunge kuhusu Richmond?
 
Rais wetu ana kazi nyingi mno.....hadi wajumbe wa bodi anateuwa yeye?
 
Mambo hadharani kama hivi:

Hongera Bwana Mpande Home Boy wa JK na Mmiliki wa Millenium Hotel Bagamoyo. Hongera Samueli Meneja Masoko wa ATC, bila ya shaka Mkuu wa Kaya kauona utendaji wako mzuri wa kuongeza Masoko ATC.

attachment.php
Are you sure kwamba huyu jamaa ndiye mmiliki wa Millenium Hotel ya Bgamaoyo?
 
Huyu Mrindoko ndiye yule aliyetajwa kwenye Kamati Teule ya Bunge kuhusu Richmond?

Huyu Mrindoko ndiye yeye yule aliyetajwa kwenye ile tume ya Richmond na mpaka hivi sasa ni commissioner wa Nishati!!!
 
Mie ndo nazidi kushangaa???? kwani hii TIPER si ilikufa siku nyingi? bodi ya nini? si ilitupasa tuifufue kwanza au ni ktk ule mkakati wetu wa kuongeza ajira milioni moja?
 
tuifufue bila BODY which keep minutes and loose hrs? Honoraria atakula nani nazo ziko kwenye bajeti?
bajeti ya vitafunio ipo tangu mwezi wa saba mwaka jana, sasa huoni itakuwa haijatumika?
 
Na zile za mwezi na vikao te he he!
 
Back
Top Bottom