Pembe za faru zilizokamatwa feki - Polisi
Na Berensi Alikadi, Bunda
KIKOSI cha Kuzuia Ujangili Kanda ya Serengeti kilichopo wilayani Bunda, mkoani Mara kimesema kuwa watu wawili waliokamatwa na...
This picture as real caused me to me emotional against our ministers who never give priorities to their citizens. Why cant they abolish this foreigners to do the work local people can do...
Swiss police have re-arrested a former banker on fresh charges of breaching bank secrecy laws by passing data to whistleblowers' website WikiLeaks.
Only hours earlier Rudolf Elmer was...
Kuna kundi la majambazi kama watano ikiwa na mwanamke mmoja wamevamia zaidi ya nyumba sita ndani ya mwezi mmoja kwa kuwalewesha walinzi kwa madawa na kukomba kila kitu.Majambazi haya yana gari na...
EVANCE Damiani (43), mkazi wa kijiji cha Gekrumu, wilayani Karatu, Arusha amewaua watoto wake wanne na yeye mwenyewe kujiua kwa kile kinachodaiwa wivu wa mapenzi.Tukio hilo la kusikitisha...
The worlds most expensive residential apartments at One Hyde Park have been officially unveiled with the help of a few famous faces.
Gary Lineker, actress Holly Valance and Bernie Ecclestone...
Ndugu wana JF, nimekuwa nikijiuliza chanzo cha Rais wetu wa sasa kuitwa JK, nakosa uhakika kama ni sahihi tumuite hivyo au la!
Mara mwingine akaniambia ni katika harakati za kuteka umma kwa...
habari wana jf , ningepenada kujua deadline ya kulipa hukumu ya icc kuhusu dowans, je serekali haiwezi hata kidogo kudelay mpaka kikao cha bunge kianze angalau hawa wawakilishi wa wanachi watoe...
Chanzo cha malaria ni mtu kuumwa na mbu aina ya anopheles mwenye vijidudu vya malaria (protozoa aina ya plasmodium na jamii zake). Ugonjwa huu bahati mbaya hauna chanjo mpaka sasa lakini...
Siku si nyingi nilikuwa huko katika nchi za wenzetu. Katika maongezi ya kawaida huku tukisubiri lunch jamaa mmoja akaniuliza, ni nani Icon wa Afrika? Kimsingi nilimjibu ingawa mimi mwenyewe...
Albino walia kuathiriwa na mafuta
na Stella Ibengwe, Shinyanga
CHAMA cha watu wenye ulemavu wa ngozi (albino) mkoani Shinyanga kimesema mafuta aina ya ENAT Vitamin "E"Crime wanayopaka...
Habari wana JF,
Kuna hiki kitabu chenye title hii "kanisa katoliki na hatma ya uongozi Tanzania", yeyote aliye na taarifa nacho naomba anijuze vp naweza kukipata.
Ni muhimu sana.
Tibaijuka aombwa kuwatimua maofisa ardhi Kinondoni
na Andrew Chale
MBUNGE wa Kawe, Halima Mdee (CHADEMA), amemtaka Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Anna Tibaijuka kuwafukuza kazi...
Wakuu::
Baada ya Miaka 15 ya kuchapa kazi, Baba_Enock ameweza kujenga vyumba viwili maeneo ya Buza na sasa amehamia huko na anaishi na familia yake raha mustarehe!
Takribani miezi miwili hawa...
Gari la Waziri lahusishwa kwenye wizi
Tuesday, 18 January 2011 21:38
Sadick Mtulya
JESHI la Polisi Mkoani Morogoro, limekamata gari la Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Lucy Nkya...
Baada ya migomo kadhaa ya mahabusu iliyotokea magereza mbalimbali nchini,hatimaye serikali imesikia kilio chao na kuagiza uchunguzi wa kidaktari unatakiwa kukamilika ndani ya majuma...