Hatimaye kilio cha mahabusu kimesikika! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hatimaye kilio cha mahabusu kimesikika!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jackbauer, Jan 19, 2011.

 1. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #1
  Jan 19, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Baada ya migomo kadhaa ya mahabusu iliyotokea magereza mbalimbali nchini,hatimaye serikali imesikia kilio chao na kuagiza uchunguzi wa kidaktari unatakiwa kukamilika ndani ya majuma manne.inavyoonekana sababu kubwa za kuchelewa kwa kesi ni kutokamilika kwa uchunguzi.habari kutoka wizara ya mambo ya ndani zinasema waraka maalum unaandaliwa kuhusu swala hilo.

  Nawasilisha.
   
 2. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #2
  Jan 19, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  serikali in forensic experts wa kutosha?
   
 3. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #3
  Jan 19, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  experts! Hizo ni ndoto labda watatumia waliopo.
   
Loading...