kesi ya jaji Rugazia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kesi ya jaji Rugazia

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by quimby_joey, Jan 17, 2011.

 1. quimby_joey

  quimby_joey JF-Expert Member

  #1
  Jan 17, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 361
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  JF mwenye kufahamu kesi ya jaji Rugazia imefikia wapi anijuze
   
 2. m

  macinkus JF-Expert Member

  #2
  Jan 17, 2011
  Joined: Sep 15, 2007
  Messages: 260
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  sidhani kama ana kesi. alishitakiwa mahakama gani? aligonga watu wakafa ndio, lakini hakuna kesi iliyo fikishwa mahakamani.

  macinkus
   
 3. quimby_joey

  quimby_joey JF-Expert Member

  #3
  Jan 17, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 361
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  so he is above the law. hivi kuna kipengele kwenye katiba kinachomlinda jaji asishtakiwe anapokuwa katenda kosa wakati akiwa kazini?
   
 4. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #4
  Jan 17, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  naomba kuhusu hili hojini ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali na DPP. wao ndo wanatakiwa kumfungulia kesi sasa kama hawajafungua nani wa kulaumiwa hapa?
   
 5. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #5
  Jan 17, 2011
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,320
  Likes Received: 5,611
  Trophy Points: 280
  Majaji wana kinga ya kushitakiwa......hata kukamatwa ni tatizoo wana kinga kubwa sanaa
   
 6. quimby_joey

  quimby_joey JF-Expert Member

  #6
  Jan 19, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 361
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Are you sure of this??? kinga hiyo ni kwa makosa gani naomba ufafanuzi kidogo
   
 7. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #7
  Jan 19, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Imeahinishwa wapi? tunaomba vifungu hivyo vya sheria. Nina mashaka na bandiko lako mkuu wangu!
   
Loading...