Kitabu hiki nitakipata wapi?

Kitabu hiki nitakipata wapi?

Coza Mhando

Senior Member
Joined
Dec 14, 2010
Posts
194
Reaction score
7
Habari wana JF,

Kuna hiki kitabu chenye title hii "kanisa katoliki na hatma ya uongozi Tanzania", yeyote aliye na taarifa nacho naomba anijuze vp naweza kukipata.

Ni muhimu sana.
 
Habari wana JF,

Kuna hiki kitabu chenye title hii "kanisa katoliki na hatma ya uongozi Tanzania", yeyote aliye na taarifa nacho naomba anijuze vp naweza kukipata.

Ni muhimu sana.

Humu ni book shop!
 
Nenda pale Msimbazi Bookshop,jengo la pili toka Kanisa Katoliki Msimbazi,au Cathedral Book Shop pale jengo zamani Forodhani Secondary school
 
huo mchezo wenu mlishaanza kitambo tu,
welevu tukajifanya kama hatuwaoni.
Ngoja umma wa watanzania uyashuhudie madudu yenu!,
ushazoea kufikiri kwa makalio ndo maana unajishtukia,,

Tuwekee nasi tujue .
Kwani kina nini hicho kibuku?
 
Hicho Kitabu kimetungwa na Shee Yahya? Au Imam wa Msikiti wa Kwa-Mtoro?

Kwanini watu badala ya kutumia ubongo kufikiria wanatumia makalio? strange!

Akipita invisible hapa unaweza kwenda jela
 
Wakuu wooote relax with the insults. Hivi kweli ban ziki tembea mtasema mods wanaonea? Endeleeni na mada kwa staha.
 
Hicho Kitabu kimetungwa na Shee Yahya? Au Imam wa Msikiti wa Kwa-Mtoro?

Kwanini watu badala ya kutumia ubongo kufikiria wanatumia makalio? strange!

...heeeeh ! mbona umereact hivyo !? unajua kilichomo?:A S 39:
 
Wakuu wooote relax with the insults. Hivi kweli ban ziki tembea mtasema mods wanaonea? Endeleeni na mada kwa staha.

yap, yap, yap, yap. Leo imecheza kama supika6 pale mjengoni, gooooooooooooooooood job,
 
Back
Top Bottom