Tahadhari: kwa wanaoishi Kawe,Mbezi beach na maeneo hayo. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tahadhari: kwa wanaoishi Kawe,Mbezi beach na maeneo hayo.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by uporoto01, Jan 20, 2011.

 1. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #1
  Jan 20, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kuna kundi la majambazi kama watano ikiwa na mwanamke mmoja wamevamia zaidi ya nyumba sita ndani ya mwezi mmoja kwa kuwalewesha walinzi kwa madawa na kukomba kila kitu.Majambazi haya yana gari na silaha na taarifa zao zipo Kawe police,jihadharini wanaoishi maeneo haya.
   
Loading...