Eti JK ni yupi?

Straight corner

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
385
132
Ndugu wana JF, nimekuwa nikijiuliza chanzo cha Rais wetu wa sasa kuitwa JK, nakosa uhakika kama ni sahihi tumuite hivyo au la!
Mara mwingine akaniambia ni katika harakati za kuteka umma kwa kujifananisha na Hayati Nyerere!

Maoni yangu:
Waitwe Kulingana na initial za majina yao, yaani;
Julius Kamabarage Nyerere (JKN au basi JK)
Jakaya Mrisho Kikwete (JMK au JM).

Nawasilisha kwa maoni yenu wakuu!
 
MIAKA 20 NAKUMBUKA KAULI YA BABA WA TAIFA NA KAULI TASA JUU YA MHE KIKWETE; "TUMACHE BADO AKUE KIDOGO"

Karubandika tu huyo, hamna kitu!

Mwanzoni kabisa huko nyuma 2005 nilidanganyika nikidhania atamranda Julius Kambarage Nyerere nikampa kura zote na kuwashawishi wenzangu zaidi ya 50 kufanya hivyo kumbe hovyo kabisa!!

Hata pale 1995 aliposhindwa na Ndg Benjamin Mkapa mwenzenu nilimkasirika na kusononeka sana lakini kwa kuwa ilikua ni Baba wa taifa Mwalimu Nyerere basi ikabidi nibaki tu kugugumiagugumia bila njia nyingine.

Baada ya miaka hii zaidi ya 20 NAKUMBUKA MANENO YA Mwl Nyerere na kujikuta nikijitukana kila siku ndani kwangu na wala hasira hazipungui.

UFISADI niliubariki mwenyewe kwa kura yangu 2005 lakini kwa 2010 nimelazimishwa tu kwa ujanja wa UCHAKACHUAJI - kwanini lakini???
 
hiv mwl alitumia JK? mi kama nakumbuka alitumia sana JK "Nyerere" hiv, ambayo inaleta tofauti!
 
Hakuna shida bora unawaelewa wote kwa matendo yao. JK hakuna shida manae ni ufupisho wa wa majina ya watu kama July Kambarage, na huoy rais kwa mujubu wa nec, john kennedy, Joseph Kaiza na wengine ila wanatofautiana kwa tabia, mwenye heri nyerere hakuvumilia ufisadi na huyu wa sasa tunaelewa linaloendelea!
 
MIAKA 20 NAKUMBUKA KAULI YA BABA WA TAIFA NA KAULI TASA JUU YA MHE KIKWETE; "TUMACHE BADO AKUE KIDOGO"

Karubandika tu huyo, hamna kitu!

Mwanzoni kabisa huko nyuma 2005 nilidanganyika nikidhania atamranda Julius Kambarage Nyerere nikampa kura zote na kuwashawishi wenzangu zaidi ya 50 kufanya hivyo kumbe hovyo kabisa!!

Hata pale 1995 aliposhindwa na Ndg Benjamin Mkapa mwenzenu nilimkasirika na kusononeka sana lakini kwa kuwa ilikua ni Baba wa taifa Mwalimu Nyerere basi ikabidi nibaki tu kugugumiagugumia bila njia nyingine.

Baada ya miaka hii zaidi ya 20 NAKUMBUKA MANENO YA Mwl Nyerere na kujikuta nikijitukana kila siku ndani kwangu na wala hasira hazipungui.

UFISADI niliubariki mwenyewe kwa kura yangu 2005 lakini kwa 2010 nimelazimishwa tu kwa ujanja wa UCHAKACHUAJI - kwanini lakini???

Usihofu! Mungu yupo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom