Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Taarifa zaidi kutoka Chuo cha MIPANGO nikwamba kuna milindimo ya Mabomu ya machozi kuwatawanya wanafunzi waliokuwa kwenye vikundi vikundi.
0 Reactions
1 Replies
966 Views
Wed, Sep 14th, 2011 | Tanzania Speaker of the National Assembly Anne Makinda Investigations into allegations of high-profile corruption at Usafiri Dar es Salaam(UDA) allegations have been...
0 Reactions
0 Replies
870 Views
Mimi hapa kwa sababu sio mtaalamu wa mambo ya kiufundi na usalama wa Meli naomba leo niongelee hawa waokoaji walio letwa kutoka Afrika ya Kusini. Ilipozama MV. Bukoba mwaka 1996 nikiwa form...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Nasikitika kuona serikali imetususa kabisa.Juzi nilikutana na madereva wa treni zaidi ya wa 5 wakilalamikia ubovu wa reli,na uchakavu wa engine.Baada ya magenge kuvunjwa na wale wahind koko ubovu...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Igunga msidanganyike na ahadi za ccm Kama ni ahadi watekeleze za kikwete kwanzaHivyo vitu CCM wanaahidi havina haja ya kuahidiwa kila mara. They are MUST things to be done by anyone in the...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
baada ya uchunguzi wangu wa muda mrefu nimefanikiwa kumjua Alietoa Barua ya kumlipua JAIRO.<br /> <br /> namuweka wazi,baada ya kashfa ya udini ndani ya ikulu,Jairo akiwa katibu mkuu ofisi ya...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Nimesoma habari kwenye gazeti la Mwananchi yenye kichwa ``Kampuni saba zaomba kuingiza mafuta nchini``. mimi hili linanisumbua kwa kiasi fulani. Kati ya hizo kampuni saba ni moja tu ambayo ni ya...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Jamani, nimejaribu kufuata utaratibu wa kupata kibali cha ujenzi wa nyumba kutoka manispaa ya Kinondoni ila sasa ni mwaka mmoja tangu niombe ila ni usumbufu na rushwa imejaa mpaka sasa sijapata...
1 Reactions
11 Replies
5K Views
Kwa kweli huwa nashindwa kuwaelewa wanafunzi wa jiji hili, muda wote wako barabaran na kwenye vituo vya daladala. Muda huu nipo Mwenge, kila kona kuna wanafunzi. Hivi ratiba zimebadilika na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Suala la leseni mpya za kuendeshea magari sasa limekuwa mradi wa watu kwa ajili ya kuwaingizia kipato kutokana na ukweli kuwa haki katika utoaji wa leseni hizo haipo kabisa na kilichopo sasa ni...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Katika makala yake kwenye gazeti la mwanahalisi la septemba 7,2011, Kubenea anasema msema kweli anatumiwa pale anaposema CCM hawakuiba fedha za EPA kwa ajili ya uchaguzi wa 2005 wakati ushahidi...
3 Reactions
93 Replies
9K Views
Wana JF, nimefuatilia hawa original komedy. Ninavyofahama mimi wameajiriwa na TBC. Lakini wiki iliyopita walipanda jukwaani kuinadi sisiem. Najiuliza, kundi hili ni la nani, kati ya sisiem na TBC...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Naona mko kimya na kondoo wenu, au maandishi yake yamefutika?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Sakata la TBC Kuonyesha muziki wa Taarab na Vodacom miss Tanzania kufanyika wakat Taifa likiwa limegubikwa na Janga / Msiba mkubwa wa kitaifa limechukua sura mpya baada ya waziri wa habari na...
0 Reactions
46 Replies
7K Views
..nimepita kule michuzi blog nikashtuka kuona picha ya waagizaji wa mafuta nchini. ..jamani sijawahi kuona ktk nchi yoyote ile wananchi wake wakiwa under-represented kiasi hiki. ..kwanini hakuna...
5 Reactions
136 Replies
13K Views
  • Closed
Kuna habari kuwa wakuu wote wa mikoa nchini wameitwa ikulu Dar es Salaam. Taarifa ya kuitwa kwa ma-RC hao zinasema kuwa ni kutaka kukutana na mkuu wa magamba ili kutathmini mwenendo wa sirikali...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Samahani pengine hii imeshakuwepo humu ndani ya JF ila mimi nimepokea sms tano sasa kuhusu kuvaa nguo nyeusi mnamo tarehe 3 wa 10 mwaka huu. SMS inasema kuwa ni kupinga au kuiambia serikali...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Amani iwe nanyi, Nimepokea habari za msiba wa Mzee wetu Abisae Stephen aliyekuwa mtangazaji mkongwe sana na mwandamizi wa Radio Tanzania. Nimeelezewa amefariki dunia Juzi hospitali akiwa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau ambao huwa mnatumia Helicopter kwenye kampeni zenu za kisiasa,ziko wapi Helicopter zenu kwenye uokoaji wa meli iliyozama Nungwi. Aibu kwenu.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Zunguka jijini Dar es salaam, utagundua kuwa kuna maeneo Reli inakutana na Barabara na bado maeneo hayo hayana tahadhari yoyote kama maeneo mengine. Hakuna mtu anayesimama na bendera kama...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…