Namjua aliempa Barua Beatrice shellukindo ya Kumlipua JAIRO | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Namjua aliempa Barua Beatrice shellukindo ya Kumlipua JAIRO

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by zubedayo_mchuzi, Sep 13, 2011.

1. zubedayo_mchuzi

zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

#1
Sep 13, 2011
Joined: Sep 2, 2011
Messages: 4,922
Likes Received: 129
Trophy Points: 160
baada ya uchunguzi wangu wa muda mrefu nimefanikiwa kumjua Alietoa Barua ya kumlipua JAIRO.

namuweka wazi,baada ya kashfa ya udini ndani ya ikulu,Jairo akiwa katibu mkuu ofisi ya Rais,Mzee wa kaya akamuhamisha kwenda wizara ya Nishati na Madini kuwa katibu mkuu ili waibe mihela,Mhasibu mkuu wa wizara ya nishati na Madini wanatoka mkoa mmoja?

Wakati wakicheza huo mchezo mchafu wa kukusanya hzo pesa kwa kila idara,ndipo ile barua ikafika kwa Mh.j.makamba,makamba kwa hasira na kuwa na bifu na jairo pale ikulu akampa hyo barua B.shellukindo wote hao wanatoka tanga,ndipo kopy ikapenya mpaka kwa zito kabwe,olendeka,ndipo shellukindo akajitolea kufa nae.

B.shellukindo alisema hata wakimuua hatosema kamwe,na kutokukiabisha chama cha magamba wakapg kimya.

2. Crashwise

Crashwise JF-Expert Member

#2
Sep 13, 2011
Joined: Oct 23, 2007
Messages: 22,172
Likes Received: 862
Trophy Points: 280
ukishamjua ndiyo inatusaidia nini watanzania...inaonekana unafaasana kufanya uchunguzi hebu tufanyie uchunguzi hizo pesa nani na nani alizipokea...

3. Jaluo_Nyeupe

Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

#3
Sep 13, 2011
Joined: Dec 21, 2010
Messages: 2,269
Likes Received: 413
Trophy Points: 180
Umenipotezea muda wangu.

4. S

Sometimes JF-Expert Member

#4
Sep 13, 2011
Joined: Dec 28, 2010
Messages: 4,567
Likes Received: 360
Trophy Points: 180
Itabidi uisaidie TUME!

5. ntamaholo

ntamaholo JF-Expert Member

#5
Sep 13, 2011
Joined: Aug 30, 2011
Messages: 10,148
Likes Received: 2,106
Trophy Points: 280
unataka kutukanwa wewe, mie sitokutukana ila nakutahadharisha.

Jairo alilipuliwa na wajumbe wa kamati ya makamba baada ya kuwatukana hasa wabunge wa CCM kwa matusi kuwa wabunge wa CCM "....mmekuwa kama COMEDY, HAMNA MSIMAMO.....". wabunge walichukia, pamoja na kula mulungula wa kupitisha bajeti hiyo katika vikao vyao, waliazimia kumharibia, ndicho kilichotokea ewe mpenda mchuzi-ZUBEDA

6. sinafungu

sinafungu JF-Expert Member

#6
Sep 13, 2011
Joined: Feb 13, 2010
Messages: 1,406
Likes Received: 569
Trophy Points: 280
huyo ni shujaa, tukiwa na watanzania wenye tabia kama ya huyo kila idara , watatusaidia kufichu uovu dhidi ya wanyonywaji unaofanywa na serikali dharimu ya ccm

7. King'asti

King'asti JF-Expert Member

#7
Sep 13, 2011
Joined: Nov 26, 2009
Messages: 27,508
Likes Received: 2,249
Trophy Points: 280
kweli ww zubeda mchuzi

8. n

ngokowalwa Senior Member

#8
Sep 13, 2011
Joined: Jul 22, 2011
Messages: 155
Likes Received: 1
Trophy Points: 35
Zubeda , mpelekee Luhanjo amchukulie hatua.

9. K

Kalila JF-Expert Member

#9
Sep 13, 2011
Joined: Sep 10, 2010
Messages: 247
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
sasa ukishamjua je

10. zubedayo_mchuzi

zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

#10
Sep 13, 2011
Joined: Sep 2, 2011
Messages: 4,922
Likes Received: 129
Trophy Points: 160

Kuna watu wao humu watamwambia.

11. Jethro

Jethro JF-Expert Member

#11
Sep 13, 2011
Joined: Mar 23, 2009
Messages: 2,223
Likes Received: 98
Trophy Points: 145
Huko Nyuma kumbe huo utaratibu ulikuwepo kwa mujibu wa serikali na baadae serikali ikaufuta kwahiyo Jairo,Luhanjo,Malima,Ngelleja wote wamekalia kuti kavu ila kwa ujinga wa serikali yetu na maovu yao wanayao yafanyaga watabebana tuuu au mmoja wao lazima awe mbuzi wa kafara, Na kitendo cha serikali kusema huo utaratibu haupo ni kuepusha balaaa lisikute wizara nyingine na serikali yenyewe kujisafisha na kuwawawajibisha walio husika

NB;
CAG alipo kuwa akikagua hakujua sheria ya nchi hairuhusu mamabo hayo iweje nae hakutoa comment zake za kisomi kuwa procedure yote ile walio ikagua was wrong kisheria kwanza then akague pili washitaki kwa kufuja pesa ya UMMA na wale walio kuwa wakishangilia which means wawe mashahidi wa kwanza kwenye kesi kani wote walishiriki kukusanya hizo pesa

TAKUKURU ndio bogasi number 1, wao hawana report yeyote na hawakuongea sasa hamuoni kuwa serikali inajikanganya yenyewe na kuwa ni hao hao viongozi ndio wezi wakubwa na kujifanya hawaijui sheria na taratibu za nchi na hizo wizara, My question kwanini TAKUKURU wako kimya mpaka sasa kuhusu report yao ya Jairo??

12. Shenkalwa

Shenkalwa JF-Expert Member

#12
Sep 13, 2011
Joined: May 3, 2011
Messages: 580
Likes Received: 0
Trophy Points: 33
Haya mambo tena. Unaiita serikali ya "kidhalimu ya ccm" wakati wewe mwenyewe umejirembesha na picha ya Ben wewe vipi???

13. B

Byendangwero JF-Expert Member

#13
Sep 13, 2011
Joined: Oct 24, 2010
Messages: 872
Likes Received: 4
Trophy Points: 0
Hizi tetesi kuwa Jairo alikua anaandaliwa kumridhi Luhanjo zimekaaje?

14. B

Bulesi JF-Expert Member

#14
Sep 13, 2011
Joined: May 14, 2008
Messages: 6,447
Likes Received: 414
Trophy Points: 180
Uchunguzi wako sio wa kisayansi bali ni wa umbeya na nitakutolea sababu. Wikileaks abao ni mtandao unaoaminika duniani kote na watu wenye akili timamu ,ulianisha kwa undani sana jinsi Kikwete alivyojitahidi kuwaombea vijana wake wawili January Makamba na Jairo ili waweze kufadhiliwa na Marekani kwenda kujiongezea elimu. Hili linaonesha wazi kuwa Rais aliamini na kwa ukweli kuwa wawili hawa wangeweza kufanya kazi pamoja kwa ufanisi ili kuongeza tija pale Ikulu; hivyo basi haingii akilini kuwa January anaweza kumsaliti Jairo na huku akijua ukaribu wake na Rais na pia yeye January ukaribu wake na wote wawili. Naomba kuwasilisha.

15. mikatabafeki

mikatabafeki JF-Expert Member

#15
Sep 13, 2011
Joined: Dec 29, 2010
Messages: 12,837
Likes Received: 2,101
Trophy Points: 280
itabidi ulisaidie taifa juu ya hili................huh

16. N

NCHABIRONDA JF-Expert Member

#16
Sep 13, 2011
Joined: Jun 6, 2011
Messages: 238
Likes Received: 5
Trophy Points: 35

acha umbea usije ukasutwa bureeee!

17. Mulhat Mpunga

Mulhat Mpunga JF-Expert Member

#17
Sep 13, 2011
Joined: Oct 28, 2010
Messages: 25,479
Likes Received: 12,758
Trophy Points: 280
Aghhhhhhrrrrrr!mara zote nlikuwa naruka hii thread sijui nani kanambia niifunue aaaahhhhh

18. m

masssaiboi JF-Expert Member

#18
Sep 13, 2011
Joined: Feb 10, 2009
Messages: 637
Likes Received: 13
Trophy Points: 33
Dahh!!!!! Dada we genious kweli, nadhani unaitumia masaburi yako vizuri.

19. m

mwl JF-Expert Member

#19
Sep 14, 2011
Joined: May 25, 2011
Messages: 862
Likes Received: 588
Trophy Points: 180
Uchunguzi wako feki, hivi huoni hapo kwenye RED barua ilifika yenyewe? Tafadhali jaribu tena baadae.

20. Mzito Kabwela

Mzito Kabwela JF-Expert Member

#20
Sep 14, 2011
Joined: Nov 28, 2009
Messages: 17,520
Likes Received: 1,691
Trophy Points: 280
peleka upumbavu wako pale ofisi ndogo Lumumba sio humu kwenye watu wanaofikiria kwa viwango vya juu

Loading...