tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,856
- 1,102
Kwa kweli huwa nashindwa kuwaelewa wanafunzi wa jiji hili, muda wote wako barabaran na kwenye vituo vya daladala. Muda huu nipo Mwenge, kila kona kuna wanafunzi. Hivi ratiba zimebadilika na wanaingia kwa shift?