Waagizaji mafuta: Kwanini Wahindi na Waarabu peke yao?! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waagizaji mafuta: Kwanini Wahindi na Waarabu peke yao?!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by JokaKuu, Aug 5, 2011.

 1. J

  JokaKuu Platinum Member

  #1
  Aug 5, 2011
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,815
  Likes Received: 5,152
  Trophy Points: 280
  IMG_7132.JPG

  ..nimepita kule michuzi blog nikashtuka kuona picha ya waagizaji wa mafuta nchini.

  ..jamani sijawahi kuona ktk nchi yoyote ile wananchi wake wakiwa under-represented kiasi hiki.

  ..kwanini hakuna Watanzania halisi ktk biashara hii?

  ..hivi serikali imeridhika na hali ilivyo kwamba biashara hii iwe monopoly ya Wahindi na Waarabu tu?

  ..call me mbaguzi or whatever you want, but we need to AFRICANIZE this business without any delay or excuses.
   
 2. G

  Godwine JF-Expert Member

  #2
  Aug 5, 2011
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  watanzania tuna fedha za kutosha lakini tumekuwa waoga wa kuingia kwenye biashara nyingi . nadhani ni wakati wa kushika uchumi wetu sasa la sivyo watoto wetu watakuja kuwa wapagazi wa wageni
   
 3. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #3
  Aug 5, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Jamaa wanamitaji mikubwa na pia kihistora hawa na wafanyabiashara tangu zama hizo.sasa inabidi watanzania nao wabadilike na waingie kwenye biashara kubwa.
   
 4. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #4
  Aug 5, 2011
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Si kweli kwamba wana mitaji mikubwa, ni kazi/biashara ambayo ni ya kizulumati sana
  Ukiwa na roho wa Mungu huifanyi hio biashara. Mm nafanya kazi na watu wa mafuta nawajua sana. Mleta mada angeongezea pia mbona wauzaji wa mafuta 90% sio wakristo???
   
 5. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #5
  Aug 5, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Mkuu, fursa zipo lakini?
   
 6. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #6
  Aug 5, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  huna haja ya kuhoji sababu hakuna mtu anayezuiwa kuagiza mafuta!!
   
 7. mtoto wa mfugaj

  mtoto wa mfugaj Senior Member

  #7
  Aug 5, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 136
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wahindi na waarabu wanapenda ku monopolise biashara ya mafuta hivyo watanzania wakijaribu kuingia wanapata vikwazo vingi sana.pili swala la mtaji pia hukwamisha watu,tatu uzoefu wa biashara husika ni kikwazo kingine kinachokwamisha wabongo kutia maguu kwenye hiyo biashara.n hayo tu
   
 8. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #8
  Aug 5, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,882
  Likes Received: 1,563
  Trophy Points: 280
  Mungu amewajaalia
   
 9. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #9
  Aug 5, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Biashara ya Mafuta ina uhusiano na MAJINI aka Ma Sheikh-Twan
   
 10. p

  plawala JF-Expert Member

  #10
  Aug 5, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 627
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aise! ungemwaga data zaidi katika uzoefu wako
  Kuhodhi biashara kubwa kubwa kwa wahindi na warabu sababu nyingine ni mafundi wa kupenyeza rupia kupata usajili au leseni
  Sisi wabongo hiyo tabia inatushinda na tunakata tamaa
   
 11. Silly

  Silly JF-Expert Member

  #11
  Aug 5, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 508
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Alternative kwenye biashara zenye kuhitaji mtaji mkubwa, serikali YENYE KUJALI WATU WAKE, inatakiwa kununua shares katika haya makampuni kisha iwauzie watu wake per - cent flani,hivyo itahakikisha wazawa wanakuwa na ownership na watahusishwa katika kutoa maamuzi ambayo pia wao wenyewe yanawahusu kwa namna moja au nyingine. Kwa vile hili halipo kwa sasa tunatapatapa na kupelekwa pelekwa...
   
 12. M

  Mkandara Verified User

  #12
  Aug 5, 2011
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Aaaah mkuu wangu wakati mwingine tukubali Hekma ya Mwenyezi Mungu alowaumba Waarabu na Wahindi kwa kipaji cha wafanya biashara (merchant) kabla hata mzungu hajajua biashara ya kununua na kuuza. Na pengine ni ktk kutazama uasilia huo huo ndio maana sisi tunalima sana mazao ya chakula na kuuza wakati hakuna mhindi wala mwarabu anayeshika jembe kulima!...
   
 13. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #13
  Aug 5, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kwani kuna mswahili yoyote alijaribu kufanya biashara ya mafuta akakatazwa? au na hili nalo ni suala la kisiasa!
   
 14. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #14
  Aug 5, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Kwa namna hawa wadosi wanavyoiendesha puta serikali legelege ya JK, mtu unashindwa kuelewa hawa watu wana nguvu kiasi gani.

  Isijekuwa kuna wamatumbi wenzetu nyuma ya pazia, hawa wadosi wanatumika kimtindo?? au inawezekana hawa wadosi wanapenyeza sana rupia kwa wamatumbi wenzetu walioko kwenye ngazi za maamuzi hivyo kuwafanya kushikwa na kigugumizi katika kuwachukulia hatua wanapotuibia.

  Mambo kama haya ndo husababisha wakati mwingine mtu umkumbuke "mzee wa ma*********".
   
 15. tama

  tama JF-Expert Member

  #15
  Aug 5, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 604
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Yana ukweli hayo jamani!!!!!!!
   
 16. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #16
  Aug 5, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,163
  Trophy Points: 280
  Watanzania halisi wakoje?
   
 17. Tangawizi

  Tangawizi JF-Expert Member

  #17
  Aug 5, 2011
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 2,835
  Likes Received: 927
  Trophy Points: 280
  Most of local companies dealing with petroleum products are owned by arabs. Multinations do not belong to this group and have been affected alot by adulteration and unfair platform to play. My personal feeling is tht politics has also got a hand on this sector througj these local companies. Nyingi zina magumashi ya kufa mtu. Tanzanians wenzangu, hebu tujaribu kuchimba ukweli tuujue maana only truth will set us free. Tatizo sio haya makampuni....tatizo letu ni leadership na ndio maana ewura ina msimamo tofauti na tra kwenye mambo ya kodi. Mfano tra hawakwenda kuchukuastock level tarehe 1july ili kutofautisha kodi na mabadiliko yake.
   
 18. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #18
  Aug 5, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,163
  Trophy Points: 280
  Wacha umatonya wewe, kwani hao walipewa na nani? Tafuta ufanye.
   
 19. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #19
  Aug 5, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,163
  Trophy Points: 280
  Waarabu wa zamani hapa Tanzania walikuwa na biashara za maduka ya rejareja, karibu yote Dar.

  Wamepand kidogo kidogo mpaka sasa wana hayo makampuni makubwa makubwa, sasa wewe unataka uanze kukimbia hata kutambaa hujaanza?

  Wachaga ni mfano mzuri wa biashara (wana ila moja tu, ambayo waarabu hawana), wanaanza kibanda cha sigara, mara viwili, mara vitatu, mara wanaenda Dubai mara wanashindana na AM.
   
 20. M

  Mkandara Verified User

  #20
  Aug 5, 2011
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Wee mhuni sana! yaani nimecheka na swaumu hii hadi kizunguzungu..
  Hapana huwezekaniki mkuu wangu.
   
Loading...