Mabomu ya machozi yapigwa mipango

Mlendamboga

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
647
284
Taarifa zaidi kutoka Chuo cha MIPANGO nikwamba kuna milindimo ya Mabomu ya machozi kuwatawanya wanafunzi waliokuwa kwenye vikundi vikundi.
 

Kurunzi

JF-Expert Member
Jul 31, 2009
7,773
7,194
Heta habari iliyokwenda shule, inamaana wanafunzi wakiwa kwemye makundi ndiyo wapigwe mabomu, wewe wa wapi?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom