Wadau ambao huwa mnatumia Helicopter kwenye kampeni zenu za kisiasa,ziko wapi Helicopter zenu kwenye uokoaji wa meli iliyozama Nungwi. Aibu kwenu.