Mashabiki wa Kondoo mwenye maandishi ya Kiarabu wako wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mashabiki wa Kondoo mwenye maandishi ya Kiarabu wako wapi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bujibuji, Sep 13, 2011.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Sep 13, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,450
  Likes Received: 22,398
  Trophy Points: 280
  Naona mko kimya na kondoo wenu, au maandishi yake yamefutika?
   
 2. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #2
  Sep 14, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Yule Kondoo nasikia alikuwa safarini kwenda Zenji ndani ya ile safina iliyo zama.
   
 3. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #3
  Sep 14, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,378
  Trophy Points: 280
  Ahhh wapi! Kondoo wamemsahau kama kikombe cha babu kilivyosahaulika. Hive nyie wabongo hamwajui ehh?
   
 4. Humphnicky

  Humphnicky JF-Expert Member

  #4
  Sep 14, 2011
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 1,808
  Likes Received: 526
  Trophy Points: 280
  kondoo aliyeyuka ghafla mwezi ulipo andama tu
   
 5. B

  BURHAN SAID Member

  #5
  Sep 14, 2011
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mbona unaonekana mtu mzima lkn unachotapika hatukuelewi aliekuambia IMANI ya mtu ushabiki nani km mambo huyajui kaa pembeni nayo mbona mnapenda sana chokochoko nyie msie na IMANI?
   
 6. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #6
  Sep 14, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,151
  Likes Received: 2,114
  Trophy Points: 280

  miujiza na matukio ya walokole, ninaowatambua kama matapeli kwa kutumia neno la mungu lilogumu kueleweka kwa waumini waliowengi.
   
 7. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #7
  Sep 14, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,830
  Likes Received: 10,143
  Trophy Points: 280
  sehemu gani wanauza chai hapa jirani jamani........
   
 8. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #8
  Sep 14, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  ingia jukwaa la siasa maziwa yao ni pure,ile cafeteria ya MMU wamechakachua sana hata ukinywa hutaskia raha
   
 9. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #9
  Sep 14, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,378
  Trophy Points: 280
  Inaonekana watu hawakumpenda yule kondoo, hamumtakii mema nyie? :)
   
 10. H

  Haroun Member

  #10
  Sep 14, 2011
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  weka mada zenye akili!hapa ni home of great thinkers so if youre not thinkers find another blog ujadiliane na wenye upeo mdogo!
   
 11. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #11
  Sep 14, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,378
  Trophy Points: 280
  kwani ndugu yangu, kuna aliyekulazimisha uchangie? Wewe au Bujibuji nani amemfuata mwenzie? Ningependa kukushauri kuwa kama thread unaona haina maana sio lazima uchangie ndugu yangu. Kwani kuna sheria hapa JF inayosema 'changia kila thread'? Mawazo yangu tu hayo. :)
   
Loading...