TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 11,614
- 23,505
Kuna mengi watu hujisifu nayo lakini katika majisifu hayo huwa na mipaka yake kwa baadhi ya mambo lakini hiyo sio kwa Lyndon B. Johnson Raisi wa 36 wa Marekani
Unaambiwa raisi huyo wa Marekani alikuwa ni mtu wa sifa saana hasa kwenye uume wake ni kitu alichokuwa na ujisifu nacho saaana hata kwenye mambo ambayo yapo serious
Kwa mfano wakati Nchi ya marekani ikiwa inapigana vita na Vietnam...baadhi ya waandishi walimuhoji wakitaka kujua ni nini kilichopelekea Marekani kuingia vitani na Vietnam.? Unajua aliwajibuje??
Alifungua zipu kisha akawaonyesha uume wake 😀😀 kisha akawaambia ni kwa sababu ya hii🤣🤣
Lakini masifa hayo hayakuanza baada ya kuwa raisi bali inadaiwa kuwa ni tokea anakuwa alikuwa akijisifu juu ya ukubwa wa uume wake hadi akaipa jina la JUMBO ( kitu kikubwa saaana/ chenye ukubwa wa ziada)
Unaambia kipindi yupo chuoni hata akipata Manzi kwenda kulala nae basi akitoka atawahadithia washkaji zake kuwa leo jumbo ilikuwa ipo mazoezini😂😂😂
Lakini pia tunajua kuwa labda tunapokuwa msalani halafu ghafla akaingia mtu mara nyingi tunawahi kujisitiri lakini hiyo sibkwa Bwana Lyndon ...Baadhi ya vyanzo vinasema moja ya vitu vya kushangaza ni kuwa aliwahi kushika uume wake kisha akamuuliza mtu aliyeingia ghafla chooni
ULISHAWAHI KUONA KITU KUBWA KAMA HILI???
Je kwa sifa ya huyu RAISI angekuwa kipind hichi cha insta na tiktok angepewa jina gani??