INASIKITISHA SANA
Tears keep falling In the morning September 11, 2001, two hijacked passenger jets crashed into the Twin Towers of the World Trade Center in New York City. This was no...
Hivi haya mabango ya waganga wa kienyeji kwenye nguzo za umeme na simu ynalipiwa kodi kwenye halmashauri/manispaa husika? Yamezidi na yanachafua miji. Hakuna sheria kudhibiti hii hali?
Waungwana WanaJF, naomba kuuliza ni vigezo gani vinavyoangaliwa kwa mtu aliyefariki anastahili kuagwa pale Karimjee kitaifa na kufunikwa bendera ya taifa.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Thobias Andengenye
Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Edmund Rice, John Justine (17) mkazi wa Makao Mapya, ambaye anasubiria matokeo ya mtihani wa kidato cha nne...
Ulysse Nardins The Chairman up to $49,500The Chairman by Ulysse Nardin is the worlds most expensive Android smartphone, and includes both a touch screen and a physical number pad. The Ulysse...
Wanabodi
Baada ya kumpumzisha mpendwa wetu, Regia sasa hatupeani pole tena bali sasa tunafanya reflections za baadhi ya legacy Regia aliotuachia na lessons ambazo tumezipata kwenye msiba huu...
Nawasalimu wakuu!
Wana jamvi naomba tusaidiane mawazo na tuelimishane kuhusu huu mjadala, kipi ni kipi, kiongozi ni mwakilishi, mwakilishi ni kiongozi au yote majibu/si majibu?
Ili kupata...
A suburban Chicago man accidentally shot a 3.25in (8.25cm) nail into his skull but is recovering after doctors successfully removed it from the centre of his brain.
Dante Autullo, 34, was in...
Mambo vp waungwana?nimekutana na fom ya kujaza toka NMB.KUNA sehemu imeandikwa hivi
Customer Signatures-(For Joint Accounts)per Mandates held by the BANK.
Full Names......
Title...
Baadhi ya viongozi wa juu wa CCM kwa kutoelewa au kwa makusudi na chuki binafsi waliendesha zengwe la kuwashambulia na kuwabatiza wenzao Mapacha watatu na kuwafanya kuonekana kama ndio wamefanya...
Nimeshindwa kufahamu kama hii taaluma ya habari nayo imevamiwa awali nilifahamu kuwa mhimili huu wa habari kama ambavo binafsi napenda kuutambua uanaowadau waliobobea katika taaluma zao lakini...
Mbunge wa nzega amewataka madaktari kugoma na kuwasisitza kuwa huu ndo wakati muafaka kwao kugoma,maama MAT ndo asasi ya juu kwao,amesema kuwa kama wakilegeza msimamo leo,basi itawachukua miaka...
Baada ya mwendo wa saa moja kwa gari tumefika Mererani eneo kitongoji maarufu cha Cairo ambako John Justin NDossi atapumzishwa milele.
Itakumbukwa marehemu alijipiga risasi kifuani nyumbani kwao...
Jana tumeona maandamano ya wanafunzi wa Kiislamu lakini hatujasikia taarifa za Kiintelinjensia zikidai kwamba kuna tishio la Al Shabaab. Hivi tishio hili limeisha au linajitokeza pale tu...
Wana Jf,baada ya VYAMA VYA SIASA(CCM,CDM,NCCR,CUF) kutupima viatu 2010,mda si mrefu (2015) vitarudi tena na kutuuliza swali "hivi wana JF mlikuwa mnataka viatu vya SAIZI gani vile?
kwa...