Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

sijawahi kutoka nje ya TZ, ndo mara ya kwanza nimekuja INDIA, jimbo la Tamil Nadu, mji wa Chennai. Nina miezi sita mpaka sasa, kwa kweli mametuzidi maendeleo sana. Sitaki kuilinganisha tanzani...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nilipata habari kwamba Airtanzania wameanzisha website, nikajaribu kuseach na kukutana moja kwa moja na Log in page (see attachment). My understanding ni kwamba website za kampuni nyingi huwa zina...
0 Reactions
0 Replies
958 Views
Usiku wa kuamkia leo wanakijiji wa kata ya sing'isi seele wamevamia shamba la madira na kulifyeka na kuchoma nyumba iliyokuwa imejengwa ktk shamba ilo mwaka 2009 lilivamiwa tena na kusababisha...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Siku chache zilizopita tumeshuhudia Jeshi la Polisi hasa FFU wakishirikiana na mgambo wa Manispaa zote tatu za Jiji la Dar es Salaam wikishirikiana kuondoa Wamachinga katika maeneo mbali mbali...
0 Reactions
0 Replies
978 Views
CCM MNA UKOSEFU WA KINGA YA UFISADI kumbu kumbu zangu na kusoma historia Tanzania imekuwa na maspika Adam Sapi Mkwawa [1] 1964 November 19, 1973Erasto A.M. Mang'enya November 20, 1973...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Pamoja na manispaa ya Dodoma kukusanya shilingi 165,163,000 katika kituo cha daladala mkoani hapa kwa kipindi cha mwaka mzima bado kituo hiki kinakabiliwa na changamoto nyingi ikiwemo kutuama kwa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Kuna kikao cha Baraza la vijana Chadema Taifa kinaendelea hivi sasa Jijini Dar es salaam kilichoanza leo. Atakaepata updates yoyote kuhusu kikao hicho atuwekee hapa. Nawakilisha
0 Reactions
4 Replies
1K Views
  • Closed
Kuna ukweli usiothibitishwa kuwa kuvunjika kwa baraza la mawaziri kwa mara ya pili ni mbinu za kikwete na maswahiba wake wa karibu kwa ajili ya kumake sure kila aliyekaribu yao anaonja utamu wa...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
habari zenu wadau! wazima? Wadau mimi kilicho nifanya niwasabahi asubuhi asubuhi hii. JE SITI MOJA KUKATIWA TIKETI ZAIDI YA MARA MBILI NI TATIZO GANI? tatizo hili limenikumba asubuhi hii.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimetafakari muda mrefu sana juu ya wamiliki wa vyama hivi. Kati ya vyama hivyo kuna hatari ya kuwa wakiondoka baadhi ya viongozi chama kinafutika.
1 Reactions
25 Replies
2K Views
WANABODI WOTE KIMENUKA Imetoka oder kutoka mamlaka juu kuwa mawazir na manaibu wote waondoe plate number za mawaziri na manaibu mawaziri kwenye magari na waweke zile za STK na hakuna kupeperusha...
5 Reactions
34 Replies
3K Views
zoezi la sensa linalotakiwa kufanyika hivi karibuni ni sehemu ya ukosefu wa mipango thabiti, kwani tungeweza kulijumuisha zoezi la sensa ndani ya zoezi la utoaji wa vitambulisho na kuokoa zaidi ya...
0 Reactions
1 Replies
830 Views
Kwa kweli kama kuna kitu ambacho sijui ni ushamba,kukosa picha/habari au matukio ,blogs zote za TZ zinakopy matukio kutoka moja kwenda nyingine. ni nadra sana kuona picha au tukio moja katika...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Ktk kile kinachodaiwa kuwa ni kudai masilahi ktk kazi ngumu wanazofanya, migambo wa jiji wilaya ya Ilala wameandamana mpaka ofisi ya msimamizi mkuu wao, ili kufikisha madai yao. Nini taswira yake...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tanzania sasa limeibuka limbi la makampuni yanayojiita Recruitment Agents eg Epic, Rada recruitment,Erolink,Infinity communication,etc...wamekamata nafasi zote za kazi kwa makampuni binafsi kiasi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa yeyote mwenye namba za Tanesco makao makuu kitengo cha zarura.mana Tanesko arusha wameshindwa kazi.nomba aziweke hàpa.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana jf nisaidieni kwa hili nimepata tetesi kwamba mbunge wa geita mjini mhe donald max eti amesimamishwa kuhudhuria vikao vya bunge kwa makosa ya kumshika makalio muhudumu wa bunge wakati vikao...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
wadau kuna utapeli umeingia wa watu kuibiwa laptop......uko hivi na hii imemtokea rafiki yangu maeneo ya posta yeye alikuwa anatembea na begi lake njiani mitaa ya posta akiwa anatoka kwenye...
4 Reactions
44 Replies
6K Views
When it comes to under age girls,he will used his stator and took advantage of them,I m feeling sorry .... poor little girl, and yet they still continue to mistreat her.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Ninayasema yafuatayo kwa masikitiko kutokana na jinsi nionavyo JF inavyovamiwa na wahuni kwa kuifanyia mapinduzi baridi kwa kupotosha umma through posts za uongo herein. Leo hii (Jumamosi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…