Taja wamiliki wa CCM na CHADEMA

Zhu

Senior Member
Sep 26, 2010
184
24
Nimetafakari muda mrefu sana juu ya wamiliki wa vyama hivi. Kati ya vyama hivyo kuna hatari ya kuwa wakiondoka baadhi ya viongozi chama kinafutika.
 
Chadema inamilikiwa na Mtei, Mbowe, Slaa, Ndesamburo, hawa ndio wamiliki wa Chadema..

CCM inamilikiwa na Kikwete, Mkapa, Lowassa, Kinana.

Siyo kweli kwamba waliotajwa CCm ndo wamiliki. Wamiliki wapo na wala hawatetereki.
 
ukiona kuna chama ambacho ni rahisi kutaja wamiliki wake. Basi ni lazima kuchukua hatua ili kiwe cha kitaifa. Kuanzisha ni jambo moja na kuendeleza ni jambo jingine.
 
CCM inamilikiwa na MAFISADI

Haujui kitu wewe, hivi kwa kauli yako unamaanisha kuwa kanisa katoliki ni mafisadi? maana ndiyo wamiliki wa CCM(Catholic Church Movement).
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
 
we still have a long way. The vision of having few popular leaders in a party gives narrow future.
 
kwa hiyo ukishawajua unataka ufanye nini ,wametajwa hapo hatujui unataka kumfuta nani na kwa maslahi ya nani ,na kama umetumwa kuwa makini sana nguvu ya umma ipo nyuma yako .
 
Back
Top Bottom