bil 119 kwa sensa wakati zoezi la vitambulisho vitatolewa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

bil 119 kwa sensa wakati zoezi la vitambulisho vitatolewa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Godwine, Apr 28, 2012.

 1. G

  Godwine JF-Expert Member

  #1
  Apr 28, 2012
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  zoezi la sensa linalotakiwa kufanyika hivi karibuni ni sehemu ya ukosefu wa mipango thabiti, kwani tungeweza kulijumuisha zoezi la sensa ndani ya zoezi la utoaji wa vitambulisho na kuokoa zaidi ya bil 119, kama ukiweza kutoa vitambulisho kwa taifa zima , je si ni sawa na kuendesha sensa pia? .vitambulisho kutumia zidi ya bilioni 300 na sensa kutumia zaidi ya bilion 119 kwa taifa masikini si ni vema tukapunguza matumizi kwa kuyajumuisha mazoezi yote mawili pamoja.
   
 2. m

  mmteule JF-Expert Member

  #2
  Apr 29, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,004
  Likes Received: 619
  Trophy Points: 280
  kamanda hujaenda mbali sana ni namna tu ya kutetea rasilimali zetu thaks mkuu, lkn elewa kuna utofauti, kuwa vitambulisho ni lonterm process yaani ni zoezi la mda mrefu na litakuwa endelevu, pia havitatolewa kwa kila mtzie, bali kwa wale wenye 18yrs and above. aafu sensa sasa ni tit4tat mkuu kuanzia mtoto wa dakika 0 mpaka mzee wa mkongojo na wale watakao kuwa safarini imekula kwao maana hawatahesabiwa! so ni sawa haya mazoezi kufanyika separetely
   
Loading...