Mji Mkuu wa Tanzania; Hali katika kituo cha mabasi Jamatini!!

Bukanga

JF-Expert Member
Dec 13, 2010
2,857
1,936

Pamoja na manispaa ya Dodoma kukusanya shilingi 165,163,000 katika kituo cha daladala mkoani hapa kwa kipindi cha mwaka mzima bado kituo hiki kinakabiliwa na changamoto nyingi ikiwemo kutuama kwa maji ya mvua pindi itakaponyesha ikiwemo ukosefu wa mabanda ya kupumzikia abiria kijikinga na mvua au jua kali.

M4C should do the needful here!!


Sosi; Mjengwablog.
 
Mkuchika na Mwanri wanapita hapo kila siku wakienda bungeni na wizara yao ipo mita chache jirani
 
Back
Top Bottom