Website ya Air Tanzania aka The Wings of Kilimanjaro

F2S

JF-Expert Member
Feb 16, 2008
216
44
Nilipata habari kwamba Airtanzania wameanzisha website, nikajaribu kuseach na kukutana moja kwa moja na Log in page (see attachment). My understanding ni kwamba website za kampuni nyingi huwa zina sehemu ya public information na sehemu ya kulogin kwa ajili ya Staff mails. Sasa hii ya ATC ni kwa ajili ya Staff tu, iko katika early stage of development au hakuna public info ya kuonesha. Kama kuna mtu ana information aweze kunijuza. NB bado tunalipenda shirika letu, is a matter of time viongozi serious wataliweka hewani tena.
 

Attachments

  • SquirrelMail Login.docx
    51.1 KB · Views: 88
Back
Top Bottom