Revealed: Kikwete hutuma watu kuhujumu wenzao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Revealed: Kikwete hutuma watu kuhujumu wenzao

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by nketi, Apr 28, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. n

  nketi JF-Expert Member

  #1
  Apr 28, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 555
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kuna ukweli usiothibitishwa kuwa kuvunjika kwa baraza la mawaziri kwa mara ya pili ni mbinu za kikwete na maswahiba wake wa karibu kwa ajili ya kumake sure kila aliyekaribu yao anaonja utamu wa uwaziri au n/waziri au ukatibu mkuu. Inasemekana wakati wa kuvunja baraza la mawaziri kulikotokea baada ya lowasa kufukuzwa kutoka na mkashifa mbaya wa richmond ilikuwa mipango ya kikwete na alimtumia sitta na baadhi ya wana ccm wanaojiita wapambanaji kumsulubu ili apate nafasi ya kuwaweka wale waliokuwa amewaacha nje. Nasikia hata kuamua kuvunja baraza kulikotangazwa jana ni matokeo ya kikwete kuwatuma baadhi ya wabunge akiwemo rafiki yake kipenzi zitto na akina filikunjombe kwa kuwapanga na kuwapa data ili kulitikisa bunge ambako mwisho wa siku ni lazima wananchi waunge mkono na kutoa shinikizo na kuonekana kikwete hana namna ya kufanya zaidi ya kuvunja bunge. Inasemekana kikwete anajua tabia na kiwango cha ufisadi cha kila waziri ila huwa hana muda wa kuonya wala wa kuwachukulia hatua ila husubiri wakati uwaondoe ili apate nafasi za kiswahiba kumaliza ngwe yake....mara nyingi watu wengi wamekuwa wakisema kuwa kikwete niu mtu hatari sana kwa mustakabali wa nchi nilikuwa naamini nusu nusu tu. Lakini sana kwa jinsi nnavyoona mambo naona hatari tupu iliyoko mbele yetu iwapo kikwete ataendelea kuwa rais.... Na hii maana yake tuna rais kivuli"
  nbawasilisha!
   
 2. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #2
  Apr 28, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  hope kwenye red tuko pamoja...na nasikia ana mpango wa kuwapa uwaziri wale ambao walishiriki kikamilifu kwenye ule mpango wa kuwang'oa!
   
 3. n

  nketi JF-Expert Member

  #3
  Apr 28, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 555
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  huyu mtu sijui yukoje ...mi sijawahi kumwelewa hata siku moja
   
 4. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #4
  Apr 28, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Noble liar! Ukweli ni kwamba JK hana uwezo wa kuongoza/kutawala.
   
 5. n

  nketi JF-Expert Member

  #5
  Apr 28, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 555
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  bado sijajua angefit position gani hasa.............maana mi naona mauzauza tu!
   
 6. n

  nketi JF-Expert Member

  #6
  Apr 28, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 555
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Rais mhujumu inabidi ahujumiwe pia!
   
 7. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #7
  Apr 28, 2012
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,529
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280

  I can smell your "GOD FATHER" in the current cabinet is being pushed out. Imeandikwa ole wake amtumainiae mwanadamu.....simama kwa miguu yako bro
   
 8. Imany John

  Imany John Verified User

  #8
  Apr 28, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,776
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  hapa kama ni bajeti natoa shilingi.
  Thread imepikwa.
   
 9. k

  kibunda JF-Expert Member

  #9
  Apr 28, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 403
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Angekuwa msanii wa Bongo Flava Angefit!
   
 10. n

  nketi JF-Expert Member

  #10
  Apr 28, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 555
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  thibitisha!
   
 11. Al Zagawi

  Al Zagawi JF-Expert Member

  #11
  Apr 28, 2012
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,715
  Likes Received: 239
  Trophy Points: 160
  habari nyepesi nyepesi....am not suprised kuikuta kwenye jukwaa la habari na hoja mchanganyiko.lau ingekuwa ni serious issue na data ndani yake isingekuwa huku.

  By the way umejitahidi kusoma magazeti, utumbo wanaondika wengine kwenye diff threads ukaunganisha 1+1 ukapata 2 nawe ukaja na thread yako.

  Kwa ushauri anyway, jifunze kutumia paragraphs katika uandishi wako ukizingatia mpangilio wa points zako. itasaidia kuwavuta watu kusoma hata kama utaandika page 100. hebu fikiria novel yoyote ambayo umewahi kuisoma, vipi ingeandikwa pasi na paragraphs wala chapters ingekuwaje usomaji wake, likewise ni kwa hizo hoja zako.

  otherwise, i simply don't buy your ideas.
   
 12. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #12
  Apr 28, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Amejitahidi kwa kila njia kumuhujumu Mwakyembe lakini Mungu anampigania.
   
 13. Y

  Yasser5 JF-Expert Member

  #13
  Apr 28, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hamna lolote hapa mnatupotezea mda jipange tena
   
 14. Mkereketwa_Huyu

  Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member

  #14
  Apr 28, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 5,099
  Likes Received: 1,199
  Trophy Points: 280

  Si sawa, Yeye anatakiwa kunyongwa kutokana na dhuruma zake kwa wananchi na si kuhujumiwa!
   
 15. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #15
  Apr 28, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Mleta uzi hana hoja ya msingi. Anachotaka kufanya ni kuonyesha Zitto na mwenzake Filikunjombe ni wanafiki na mawazo haya hayakuwa ya kwao.
   
 16. Mwanamageuko

  Mwanamageuko JF-Expert Member

  #16
  Apr 28, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,796
  Likes Received: 1,293
  Trophy Points: 280
  Wa kunyongwa nchi hii si yeye peke yake, wahujumu nchi hii ni wengi hawana idadi, nchi ilianza kufisidiwa na wananchi kuhujumiwa toka mwaka 1967 mpaka leo.. yani hata sijui watanzania wana roho ngumu kiasi gani!!!??

  wapo watu leo wanaabudiwa na kusifiwa kwa mema walioitendea nchi hii huku ubaya wao ukigubikwa bila kuonewa haya.
  Watanzania!!!

  wapo waliotenda mema katika nchi hii, mazuri yao yalifunikwa na historia yao imepotea kwa sababu hawakuwa wenzetu!!
  watanzania!!!

  wapo waliofisidi kwa mlango mwingine na kisha wakawa wateule kwa mlango mwengine!!!
  watanzania!!!

  Hali hizo zimetufikisha kwenye ulemavu na utindio wa fikra, hatuwazi tunawaziwa, hatusemi tunasemewa, basi ikiwa kusoma hatujui basi hata mapicha yanatushinda kufahamu???

  Iko siku itafika tutatambua kupembua mchele na pumba kwani sasa hatujui ni kipi tunakihitajia!!!

  ndio maana kila jambo linakwenda msobemsobe kuanzia kwa raia mpaka mkuu wa kaya.
  kwa maana hakuna anaeujua wajibu wake.

  nimewafikishia ujumbe.
   
 17. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #17
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Yaani anataka kusema Mwenyekiti na Makamu wa Kamati za Hesabu za Masharika ya Umma na vibaraka wa JK???
   
 18. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #18
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  kama hana uwezo wa kutawala mbona mlimchagua??

  Siku nyingine mkome kuchagua rais based on popularity contest na mchague based on his/her track record kwenye ufanisi wa kazi
   
 19. c

  commissioner Member

  #19
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama unajua unachotawanya, wewe ni mtu hatari kweli. Kama hujui, basi Mungu akusamehe kwani umekwenda mbali kweli kweli. Jali nafsi yako, familia yako na waTz wenzako. Jadili, tukana kama unaweza, lakini usichonganishe au kupelekea uhaini. Wewe unasikia tu, tuulize tuliokaa nchi za watu walipojiletea matatizo kwa kuchoshwa kutumia njia ya kura. Mbona CDM tayari inashinda bwana? Vumilia tu na achana na hisia, kudhani, kujitia hofu.
   
 20. tutaweza

  tutaweza JF-Expert Member

  #20
  Apr 28, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 618
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 45
  Kwenye red pananitosha kuacha kuchangia hii mada!
  No authority, no right to speak.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...