Viongozi vipofu

SunStrong

Member
Jan 24, 2011
56
3
sijawahi kutoka nje ya TZ,
ndo mara ya kwanza nimekuja INDIA, jimbo la Tamil Nadu, mji wa Chennai.
Nina miezi sita mpaka sasa, kwa kweli mametuzidi maendeleo sana.
Sitaki kuilinganisha tanzani na india ila kuna mambo ya msingi ya ambayo naamini hata sisi tunaweza.
Kama usafiri.
Kwa asilimia kubwa serikali ndo inamili na kusimamia usafiri wa uma.
Bei ya mafuta haitofautiani sana na tanzania,
kwa Rupee 50 sawa na Tsh.(1500-1600) napewa ticket ya kusafiri popote ndani ya jiji kwa siku moja.
Na mengine mengi ambayo tanzania tunayawezi kama kumthamini mwalimu na elimu pamoja miundombinu.
Je viongozi wetu wakija huku wanang'olewa macho au wanakuwa vipofu.

Alipokuwa amelazwa naibu waziri wa ujenzi nje kuna fylover ambayo kama hiyo inahitajika ubungo!

tafakari
 
Sasa unatukana vipofu kama vile sio binaadam au hawawezi kuongoza? fanya heshima na adabu na ujuwe kuwa vipofu hawajaomba kuwa vipofu na ni binaadam wa kawaida. Usiwakwaze tafadhali.
 
Sasa unatukana vipofu kama vile sio binaadam au hawawezi kuongoza? fanya heshima na adabu na ujuwe kuwa vipofu hawajaomba kuwa vipofu na ni binaadam wa kawaida. Usiwakwaze tafadhali.

it seems as urnt greate thinker!
 
Back
Top Bottom