Ya leo kali " hadi mgambo wa jiji wamejitambua"

buhange

JF-Expert Member
Oct 23, 2011
505
110
Ktk kile kinachodaiwa kuwa ni kudai masilahi ktk kazi ngumu wanazofanya, migambo wa jiji wilaya ya Ilala wameandamana mpaka ofisi ya msimamizi mkuu wao, ili kufikisha madai yao. Nini taswira yake kuelekea mapinduzi halisi ya utu na ubinadamu wa mtanzania? source: ITV
 
Wao posho yao si ilikuwa ubwabwa wa wale mama ntilie wanao wakamata,Wanadhambi mno hawa mgambo kazi yao ni kuwakamata machinga,mama ntilie kisha kuwa dhulumu vitu vyao,acha yawakute.Sasa hivi wamekuja na mpya ya wrong parking.
 
Hiyo habari 'imenifurahisha' kabisa...huwa wanajifanya ni miongoni wa watawala.
Wakati ukweli ni kuwa wao ni moja ya kundi linalogandamizwa.
Sasa wanaweza kubaini kwa ufasaha kabisa watawala wanawachukukiaje!
 
Police ndo wanatakiwa kupinga maandamano ya hawa jamaa ikiwemo kuwapiga mabomu..washenzi tu..hawa jamaa
 
Back
Top Bottom