Bavicha taifa katika kikao cha leo. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bavicha taifa katika kikao cha leo.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mbaga Michael, Apr 29, 2012.

 1. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #1
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,914
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  Kuna kikao cha Baraza la vijana Chadema Taifa kinaendelea hivi sasa Jijini Dar es salaam kilichoanza leo. Atakaepata updates yoyote kuhusu kikao hicho atuwekee hapa.
  Nawakilisha
   
 2. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #2
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,916
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Vikao vyao ni siri. Kamati kuu imekutana, hakuna taarifa
   
 3. S

  Sultani kambe Member

  #3
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 26, 2012
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  .........uvccm wata meet morro
   
 4. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #4
  Apr 29, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kikao chenyewe kinahusiana na nini?
   
 5. OKW BOBAN SUNZU

  OKW BOBAN SUNZU JF-Expert Member

  #5
  Apr 29, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 22,750
  Likes Received: 17,828
  Trophy Points: 280
  Tutazipata minutes za kikao cha UVCCM coz tuna watu wetu wa kumwaga, ila kwa BAVICHA subiri wasemaji watanena, hakuna mamluki mle.
   
Loading...