Uvamizi wa mashamba Meru waendelea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uvamizi wa mashamba Meru waendelea

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by EBENEZA MT, Apr 29, 2012.

 1. EBENEZA MT

  EBENEZA MT JF-Expert Member

  #1
  Apr 29, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 264
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Usiku wa kuamkia leo wanakijiji wa kata ya sing'isi seele wamevamia shamba la madira na kulifyeka na kuchoma nyumba iliyokuwa imejengwa ktk shamba ilo mwaka 2009 lilivamiwa tena na kusababisha kifo cha dada mmoja wa iringa aliyepigwa risasi na askari wa ffu shamba ilo liko barabara ya moshi arusha jirani na kituo cha utafiti cha sadc nitawahabarisha zaidi nini kinaendelea.
   
 2. s

  sigienet Member

  #2
  Apr 29, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tunasubiri!
   
 3. Macos

  Macos JF-Expert Member

  #3
  Apr 29, 2012
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 1,831
  Likes Received: 1,004
  Trophy Points: 280
  wakishinda haya ndio yatakuwa ya kila siku
   
 4. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #4
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Mi naona haya mauaji kwa Watanzania mpk lini?

  Sasa mtoto wa watu wamemtoa uhai wake bila ya sababu yeyote!

  MUNGU UNAYEISHI NA KUMILIKI,WATUME MALAIKA WALETE BARAKA PALE PANAPOKUWEPO MAFARAKANO MUNGU WETU,tuna matumaini ya kwamba MUNGU wetu upo.

  Ila ninasikitika sana na habari hii ya mauaji yanayoendelea bila ya huruma.
   
 5. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #5
  Apr 29, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Mauwaji yapi mbona mleta mada kasema issue ya kuwawa ilikuwa mwaka 2009...
   
 6. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #6
  Apr 29, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Anaewauwa ni nani?
   
 7. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #7
  Apr 29, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  sing'isi ni base ya wakorofi wa arumeru
   
Loading...