Mabasi ya sai baba ni uhuni ubabaishaji ktk mfumo wa uendeshaji wa magari yao.

Sajunne

Senior Member
Jul 19, 2011
104
58
habari zenu wadau! wazima? Wadau mimi kilicho nifanya niwasabahi asubuhi asubuhi hii. JE SITI MOJA KUKATIWA TIKETI ZAIDI YA MARA MBILI NI TATIZO GANI? tatizo hili limenikumba asubuhi hii.
 
Back
Top Bottom