Nini msaada wa recruitments agents kwa vijana wa kitanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini msaada wa recruitments agents kwa vijana wa kitanzania?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by libby, Apr 28, 2012.

 1. l

  libby Member

  #1
  Apr 28, 2012
  Joined: Jan 18, 2010
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tanzania sasa limeibuka limbi la makampuni yanayojiita Recruitment Agents eg Epic, Rada recruitment,Erolink,Infinity communication,etc...wamekamata nafasi zote za kazi kwa makampuni binafsi kiasi kwamba vijana wa kitanzania wanaomalizia vyuoni kupata ajira imekuwa kama ndoto...ni mpaka upitie kwa haya makampuni ndio upate kazi.
  matatizo ya haya makampuni ni kama yafuatayo.
  1. WEZI- wanaibia vijana especially wale fresh from school.wanawapa kazi ngumu kwa mshahara mdogo na wenye makato yasiyoeleweka .
  2. WABABAISHAJI- Mishahara hiyo midogo isiyoendana na viwango vya elimu za hawa vijana haileweki siku ya kutoka, mara tarehe 28,30,2,5 hata 15 ya mwezi mwengine.
  3. UNDUGU/URAFIKI- Wanapeana kazi,vyeo na madaraka kiundugu,kirafiki yaani hamna haki inafuuatwa. mfano,unakuta Financial manager anadiploma ama ndio kwanza yupo chuo analipwa 1.6M -2M Wakati kuna kijana ana masters, postgraduate diploma au hata bachelor degree wanampa kazi ya customer care na mshahara laki 3?
  4. HAWAJUI SHERIA ZA KAZI- Wanaajiri vijana kwa mkataba wa customer care wa mwaka mmoja,katikati wanampeleka kwenye post nyengine yenye kazi nyingi zaidi kwa mkataba ule ule.Ni elimu ndogo walionao viongozi wa haya makampuni kama Rada,Brightday au Infinity communication.

  NINA MENGE ILA UKWELI NI KWAMBA HAYA MAKAMPUNI HAYANA FAIDA YOYOTE KWA VIJANA, NI WEZI, WANAHARIBU SOKO LA AJIRA NA KUSHUSHA KIWANGO CHA MISHAHARA NA UTENDAJI WA KAZI PIA, KAMA MFANYAKAZI HARIDHIKI NA MSHAHARA, MAZINGIRA YA KAZI HATOFANYA KAZI KWA MOYO MMOJA.

  YAFUNGWE IKIWEZEKANA, HATUYAHITAJI.
  WEZI
   
 2. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #2
  Apr 28, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,314
  Likes Received: 5,606
  Trophy Points: 280
  Wajua kuna wengine wana shida kweli ya kazi wengine wanapoteza muda hasa kazi za customer care imekuwa ni kijiwe cha kuzugia!!kama unaona unanyanyaswa kuna vyombo vingi kukusaidia....nenda TAMWA,TAWLA utasaidiwa mawazo ya kisheria uwashitaki kama wanaenda tofauti na mkataba.
  Ila wengi wamepita hivyo na sasa wako mbali,pale unapata reference yako zikitoka kazi nzuri sehemu huwezi kukosa.....hujalazimishwa wala kufungwa kamba!tafuta haki kwa kufuata sheria na utaratibu si kulalamika bila kujenga hoja za kisheria!!ushauri tu napita
   
 3. T

  TumainiEl JF-Expert Member

  #3
  Apr 28, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 2,895
  Likes Received: 1,649
  Trophy Points: 280
  Hili nitatizo kubwa na nina shangaa kwanini serikal ipo kimya kias hiki, vijana ktk umri wao mdogo wanaanza kaz kwa mikataba mifupi,mifupi je future yao itakuwaje? Huu ni wizi na ubadhirifu mkubwa ktk soko la ajira nawaza ni nani alie kubaliana na huu mpango wakijinga kiasi hiki. Inauma nakukera sana kuona watanzania vijana wanakuwa ktk ajira za mashaka. Sheria zipo wapi? Viongoz wapo wapi wa taifa hili?? Ee Mungu tusaidie.
   
 4. T

  TumainiEl JF-Expert Member

  #4
  Apr 28, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 2,895
  Likes Received: 1,649
  Trophy Points: 280
  WEWE NI MMOJA WAO! Tunakujuwa
   
 5. nziriye

  nziriye JF-Expert Member

  #5
  Apr 28, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 960
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  i hate erolink much,kwanza hawatoi mkataba wa kazi,pili wadada wa pale mapokezi wabantu kama mie wanaringa lol,yani kitambulisho cha kazi wanasumbua .njoo kesho,hr ayupo...na kinachokera zaidi upo voda,kitambulisho kimeandikwa erolink kamba yake hyo id ni ya voda,asilimia 95.9 huwa hawavai id nje ya premises za pale mlimani city....naunga mkono hoja inabidi haya makampuni yapigwe ban.
   
Loading...