Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Msanii mkongwe Jangala bin dilunga yuko hewani ch 10
0 Reactions
1 Replies
889 Views
Nchi hii mie sielewi kabisa mie Dogo alikuwa sawa kabisa haiwezekani mie nizalishe sana hapa Mwadui Almasi then zikajenge fly over Dar, wa Tanga azalishe chai akajenge bandari Dar, Kidatu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kama kuna mtu ana kontakti za huyu jamaa yaani simu au email naomba anipe nina shida nae
0 Reactions
1 Replies
2K Views
kuna ajali imetokea mtoni mtongani pale kwenye mto mzinga darajani. roli lilokuwa limebeba korosho limepinduka. ni ajali mbaya sana ambayo umetokea kwenye mkusanyiko wa watu. Majirani wa pale...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa hisani ya Mjengwa!
3 Reactions
9 Replies
4K Views
7 Reactions
11 Replies
3K Views
If i can dream i can act and if i can act, I can become.:A S 465::A S 465::A S 465::A S 465:
0 Reactions
1 Replies
949 Views
Kwa anavyoongea kwenye tuongee asubui, mijala anavyoipamba selikali. Anasifu kila kitu na asiyeweza kukosoa lolote kuhusu selikali. Na mkosoaji mkubwa wa upinzani. Mtu aliyesaidia wajinga wengi...
0 Reactions
26 Replies
6K Views
Katika hotuba yake aliyoitoa, Obama ameunga mkono ndoa za jinsia moja. Hii imemfanya kuwa Rais wa kwanza wa Marekani kuunga mkono ndoa za jinsia moja. Katika hotuba hiyo, Obama alisema:- "At a...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kuna msg napokea mara kwa mara. Huwa zinasema ''mlio wangu niliochaguwa umewekwa upya''. Mwanzo i did'nt care. Coz sikuwahi kujiunga na hizo huduma. Siku moja nikaona msg ''mlio wako uliochaguwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Eti, wakazi wa moshi vijijni wanamlilia Dr. Chami kwa kukosa uwaziri, eti aliwafanyia makubwa kwa kutandaza lami kwenye barabara za jimbo lake zima. Uru, Kibosho, Old Moshi na kwingineko. Waandaa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mimi nimemaliza form six mwaka huu na nimepata division 3 ya points 17 nina E ya geography,E ya Economics na F ya Math's nauliza kwamba naweza kupata chuo kwa kiwango hicho cha ufaulu
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Maji ya chupa ya Penguin na Pangani inasemekana ni salama lakini lable zinatoa mwelekeo tofauti. Moja inaonesha tarehe ya kwisha muda ni Dec. 2010 na nyingine inaonesha Jan. 2012. Katika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo mida ya saa nne limebandikwa tangazo maeneo mbalimbali ya chuo likielekeza aina ya mavazi ambayo hayatakiwi hapa chuoni pamoja kama suluari za kubana, sketi fupi,nk zisizo na maadili na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
I am looking a source that will provide me with a list of NGOs dealing with renewable energy that are registered in Tanzania. If possible provide their contact details. Thanks! Kishai
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Katika taarifa ya habari ya ITV ya saa 2 usiku huu, nimeona habari ya zahanati moja iliyoko Mtwara pamoja na shida ambazo zinaikabili zahanati hiyo. Mojawapo ya matatizo yaliyoelezwa ni ukosefu wa...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Hivi mnaonaje utendaji wa Halmashauri zetu?
0 Reactions
0 Replies
931 Views
Source; The Citizens Tuesday, 08 May 2012 Arusha. Collision of dates for major international events slated for Arusha from the end of the month has proved a headache for some organisers who...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kwa mujbu wa vitabu ya din zote za halali dunian,yalyonenwa ktk vitabu hvyo juu ya mwisho wa dunia umekaribia.Leo kwa sababu ya madaraka m2 kakubal wanaume kulana jicho(TIGO),na wanawake...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Closed
Maxence Melo JF Founder & Director You are one Lucky guy!!! Who gets a pre Birthday gift from a wife of self made image of you... Hongera saana Melo kwa kupata baby boy.... two hours from the...
67 Reactions
123 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…