UDOM imewaiga St Agustino na CBE mavazi

DOMA

JF-Expert Member
Mar 17, 2011
944
365
Leo mida ya saa nne limebandikwa tangazo maeneo mbalimbali ya chuo likielekeza aina ya mavazi ambayo hayatakiwi hapa chuoni pamoja kama suluari za kubana, sketi fupi,nk zisizo na maadili na wanaume kusuka, kuvaa mlegezo na kofia na atakayekiuka atasimamishwa kwa muda wa miezi 9 mpaka mwaka mmoja na limesainiwa na principal Rubangumya.

my take
nimeipenda kwani dada zetu walipitiliza na leo ndiyo nimegundua kumbe sketi wanazo ha ha ha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom