Wale wauaji wa watalii ktk camp huko mikoa ya kaskazini wamepatikana,baadhi Mugumu-Serengeti na wengine Mwanza!Waziri mwenye dhamana Mh.E.Nchimbi ameonekana akiwa eneo la tukio,uwepo wake...
Spika
unawakatiza wabunge na mmebadili kanuni wabunge wachangie kwa kipindi kifupi lakini wewe unatumia muda mwiiiingi kutambulisha wageni wasio na tija au binafsi...acha
unazuia hoja nyiiingi eti...
Tangu mgomo wa madaktari uanze kumekuwa na maoni mengi, na hata matukio mengi. Moja kati ya hayo ni serikali kwenda mahakamani. Na kwa kufanya hivyo suala hili limeshindikana kujadiliwa bungeni na...
Wakuu,
Leo hapa Dar es Salaam gazeti la Mwanachi halipo kabisa kwenye soko. Nilipomuuliza muuza magazeti mmoja ameniambia ni kwa sababu wanaugomvi na ma-agent (mawakala) ambao wameweka mgomo wa...
Wana JF kwa kweli ni muda mrefu nimekuwa nakerwa na parking za taxi katika mji wa Dar es Salaam haswa City centre. Katika kila sehemu ambayo majengo muhimu yapo utakuta taxi zimeandika kituo cha...
Wakati madaktari wakiwa kwenye mgomo baridi wa kutoa huduma ilikuwaje wakampeleka Dr Ulimboka hapo Muhimbili? Au walitaka afe kwa kukosa huduma? Au wanajua kuwa watu maalum hawataathiriwa na mgomo?
Madaktari Interns wa Hospitali ya Rufaa Mbeya wameamriwa kuhama haraka iwezekanavyo katika hosteli za hospitali hiyo. Majengo ya hosteli hizo yamezingirwa na askari wa kuzuia ghasia na makachero...
Jamani nisidieni kujua uwiano sahihi wa thamani ya mzungu na mtanzania. WATANZANIA WANGAPI NI SAWA NA MZUNGU MMOJA? nahitaji jibu mapema ili siku idadi ya Wa-Tz(Zeluzelu) watakao uwawa wenye...
Wanabodi
Kwanza tuungane wote kumpa pole Dr. Stephen Ulimboka na kulaani kitendo kile.
Mimi ndiye nilyeanzisha ule uzi wa "mazuri ya JK", na miongoni mwa mazuri ya rais wetu, ni "mtu wa watu"...
Ni ushauri tu wa kuongeza madai yao yaani baada ya magari
pia serikali iwapatie ndugu zetu hawa SILAHA ili waweze
kujilinda kutokana na unyeti wa sehemu waliyopo na umuhimu
wao, pia kama...
Mbunge mmoja akichangia katika hutuba ya bajeti ya ofisi ya waziri mkuu leo alifikia kusema "kama alivyo sema waziri Benard Membe kuwa watanzania wako tayari kulala na njaa lakini hawapo tayari...
Jamani ndugu zangu watanzania na viongozi, wakazi wa ifakara wanakelekwa sana na geti la idete kwakuona viongozi wamegeuza sehemu yao ya kutafutia pesa za kubadirisha magari nk. Na kikubwa...
Kama nchi ikianza umafia juu ya watu wake hiki ni kiama.
Njia ya maridhiano ikishindikana inabidi kutumia umafia kaeni chonjo watu wote mnaotetea maovu.
Ni kawaida kwa madaktari kulalamikiwa kila kuwapo na tatizo katika mfumo wa utoaji huduma za afya. Wakati mwingine daktari anaonwa kama malaika anayerejesha uhai. Muda mwingine akionwa kama mtu...
Watanzania wenye upendo wa dhati na nchi hii wanaumia mno wanapoona na kusikia matukio ya kutisha katika nchi yetu yanayofanywa na binadamu wenye roho ya kishetani.Matukio ya kuteka na kuua...
Mie sina imani na serikali kabisa ya CCM na kweli kesi ya nyani tunampelekea tumbili, iweje mtalii mmoja kuuwawa serikali yote ikahamia Serengeti na cha ajabu eti wahusika wamekamatwa na siraha...