Juhudi zilizotumika kukamata wauwaji wa watalii Arusha zitumike kwa Dr.Ulimboka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Juhudi zilizotumika kukamata wauwaji wa watalii Arusha zitumike kwa Dr.Ulimboka

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ngaliba Dume, Jun 28, 2012.

 1. Ngaliba Dume

  Ngaliba Dume JF-Expert Member

  #1
  Jun 28, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,604
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  Wale wauaji wa watalii ktk camp huko mikoa ya kaskazini wamepatikana,baadhi Mugumu-Serengeti na wengine Mwanza!Waziri mwenye dhamana Mh.E.Nchimbi ameonekana akiwa eneo la tukio,uwepo wake unaashiria kuwa toka tukio litokee amekuwa nje ya Bunge akifuatilia hatma ya Wauwaji hao wa watalii!...Kwa juhudi hiyo na moyo huo wa askari na Waziri Nchimbi tunaomba utumike pia ktk "Watekaji" na "Wauwaji" wa Dr.Ulimboka...muda na umakini uliochukua muda usiozidi wiki umefanikisha kupatikana kwa wauwaji wa Mtalii...pia jinsi Dr.Nchimbi alivopiga kambi Mugumu na Mwanza na kuacha vikao vya bunge kuhakikisha wauwaji wanapatikana kwa msaada wa kamanda Sirro ujidhihirishe kwa kupiga kambi Dar kuwapata "Watesi " wa Dr.Ulimboka
   
 2. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #2
  Jun 28, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Nchimbi amefuatilia mauaji haya, kwa sababu watalii ni watu muhimu sana nchi hii. Ingelikuwa ni mauaji kama yale ya Nyamongo angeendelea kugonga meza bungeni ndiyoooooo!!!!
   
 3. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #3
  Jun 28, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  sahau kwa serikali hii ya magamba...
  hapo ni porojo mwanzo mwisho
   
 4. k

  kitukipya Member

  #4
  Jun 29, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tutafute tatizo tuc ropoke
   
Loading...