Gazeti la Mwananchi leo halipo sokoni, kisa lina ugomvi na mawakala wake

TUMBIRI

JF-Expert Member
May 7, 2011
1,933
1,199
Wakuu,
Leo hapa Dar es Salaam gazeti la Mwanachi halipo kabisa kwenye soko. Nilipomuuliza muuza magazeti mmoja ameniambia ni kwa sababu wanaugomvi na ma-agent (mawakala) ambao wameweka mgomo wa kutolipokea na kulisambaza gazeti hilo kutokana na malipo kiduchu inayotoa gazeti hilo.
 
mikoani lipo nimeliona habari ya juu inasomeka "sitta atangaza kugombea urais 2015"
 
wengine hawaelewi ila kama wangejua kuwa mi nimelinunua tena ubungo mataa
 
Nasikia siku ya wajinga kudanganyana mwisho saa 4. Huyu mbona kaja saa saba.

Mkuu hii ishu haina uhusiano na siku ya wajinga. Ni habari ya kweli. Wewe kama upo Dar Es Salaam, nenda sehemu yoyote ukanunue gazeti la Mwananchi uone kama utalipata.

 
Mkuu mleta sredi kwanini usifungue meza yako ukalamba mia mbili za uwakala kwa kila gazeti 1?
 
Nasikia siku ya wajinga kudanganyana mwisho saa 4. Huyu mbona kaja saa saba.

Nashangaa mamake mi niko Boko Dar, na hapa nna nakala ya mwananchi. Nilipolinunua nimeyaacha kibao. I hate this day!
 
Back
Top Bottom