Hivi hizi parking za taxi mjini ni nani anatoa vibali? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi hizi parking za taxi mjini ni nani anatoa vibali?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mapondela, Jun 28, 2012.

 1. Mapondela

  Mapondela JF-Expert Member

  #1
  Jun 28, 2012
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 457
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wana JF kwa kweli ni muda mrefu nimekuwa nakerwa na parking za taxi katika mji wa Dar es Salaam haswa City centre. Katika kila sehemu ambayo majengo muhimu yapo utakuta taxi zimeandika kituo cha taxi. Ukiweka gari lako tu wanakuvamia kwa ukali hata kama unasimama kumsubiri mtu.

  Mimi nina mashaka kama kweli huwa wamepewa hawa madereva wa taxi. Kama wamepewa na wanalipia basi kuna tatizo huko ofisi za jiji kwa sababu wametoa vibali vingi kiasi kwamba watu wenye magari tunataabika kweli na hawa madereva wa taxi na vituo vyao.
   
 2. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Peleka jukwaa husika. Mkuu.
   
Loading...