Mtoto wa kiume (Brian) kapotea Mbezi kwa Musuguli

Mtoto wa kiume (Brian) kapotea Mbezi kwa Musuguli

balibabambonahi

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2015
Posts
16,707
Reaction score
15,448
Mtoto anaitwa Brian mwenye miaka mitano, alitoka kwenda kucheza na wenzake hadi jana jioni hajaonekana hadi leo.

Ni mkazi wa mtaa wa Msingwa, Mbezi kwa Musuguli, jitahada za kumpata hazijazaa matunda. Wazazi na majirani tumepigwa na butwaa.

Piga namba hii,0715559433 .

Screenshot_20260612_155528_WhatsApp.jpg
 
Mtoto anaitwa Brian mwenye miaka mitano, alitoka kwenda kucheza na wenzake hadi jana jioni hajaonekana hadi leo. Ni mkazi wa mtaa wa Msingwa, Mbezi kwa Musuguli, jitahada za kumpata hazijazaa matunda. Wazazi na majirani tumepigwa na butwaa
Huyo hapo,atakayemuona tafadhari piga namba hii,0715559433
 
Id inachangia mtoto kupotea
edit uzi weka maelezo vizuri.
 
Mtoto anaitwa Brian mwenye miaka mitano, alitoka kwenda kucheza na wenzake hadi jana jioni hajaonekana hadi leo. Ni mkazi wa mtaa wa Msingwa, Mbezi kwa Musuguli, jitahada za kumpata hazijazaa matunda. Wazazi na majirani tumepigwa na butwaa.Piga namba hii,0715559433 .
Msingwa Sehemu Gani?
Bwawani Flem10 Darajani Au SixB...

Ilo Tukio Ngoja Niwaulizie Wadau
 
Mtoto anaitwa Brian mwenye miaka mitano, alitoka kwenda kucheza na wenzake hadi jana jioni hajaonekana hadi leo. Ni mkazi wa mtaa wa Msingwa, Mbezi kwa Musuguli, jitahada za kumpata hazijazaa matunda. Wazazi na majirani tumepigwa na butwaa.Piga namba hii,0715559433 .
Tujitahidi kuShare kwenye wasapus grupus
 
Nimepata habari kwamba mtoto yuko msikiti mmoja Magomeni,ndo wazazi na majirani wameenda huko.Huenda akapatikana na kurudi kwa wazazi wake salamaa,Inshaallah
 
Back
Top Bottom