Mhe Aliko Kibona Ileje amezuia maendeleo ya mradi wa kuweka umeme Katika Zahanati ya Kijiji cha Ikumbilo .Kisa michango imehasishwa na Chadema:
HIVI MBUNGE WA ILEJE ANAHITAJI TUANDAMANE...
Ni katika mkutano wa Baraza la Mawaziri la Uturuki katika makazi ya Waziri Mkuu,Tayip Eldowan.
Mawaziri wawili walitishiana bastola kwa kufyatua kabisa. Walikuwa wakipondana kwa hoja kikaoni...
Namsikiliza Wilson Mkama akizungumzia tuhuma za rushwa CCM.....kipindi cha Adam Simbeye TBC....kiingereza chake duh....nomenclature, parody,clux, there is corruption, bribe and graft...which...
:A S cry: Huwezi kuamini mishahara ya serikali ilishaingizwa NMB toka wiki moja iliyopita lakini NBC kwa kujiamini sana hawajaingiza hizo pesa mpaka sasa ukizingitia serikali yenyewe inachelewesha...
Wadau,
TANESCO wanatumia hela nyingi kutangaza kwenye vyombo vya habari kwamba ukilipia huduma ya kuunganishiwa umeme, basi utaipata ndani ya wiki mbili. Huu ni uongo uliokomaa kwani hakuna kitu...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Chama Cha Mapinduzi kinasikitishwa na kitendo cha kinyama alichofanyiwa Sheikh Fadhili Soraga cha kumwagiwa tindikali sehemu ya uso na kifuani. Sheikh Soraga ni mtu...
WanaJF wanaishi maeneo yote ya kuelekea bagamoyo
watakubaliana na mimi ninachokisema sasa hivi. Hiki kitu kimenichukiza
maana ni unyonyaji wa hali ya juu.
Muda wa Usiku kuanzia saa 2
Malori ya...
Baada ya miaka mingi ya kulishwa 'viporo'vya habari,magazeti ya kampuni ya Mwananchi ya tarehe ya leo yameonekana live alfajili katika mitaa ya Bukoba.Bado nadadisi njia iliyotumika kuyafikisha...
Mji wa Moshi ulioko katika mkoa wa Kilimanjaro Kaskazini mwa Afrika unasifika kwa usafi. Waliotembelea mji huo wanatuhadithia kwamba, mji huo ni msafi licha ya udogo wake na bustani zake zina...
Naomba mchango wenu wana JF kwa hili la mtu kuanza kuhubiri neno la Mungu katika daladala. Kuna jamaa mmoja aliyekuwa mevaa suti aliingia kwenye daladala na kuanza kuhubiri neno la Mungu kwa sauti...
Kuna umuhimu wa kurusha habari za bunge live online, Je zipo au kunautaratibu unaweza kuwezesha TV mbalimbali zikapatikana online??
Walio karibu na stations za TV na bunge watusaidia kama...
Busara zisipotumika kuwa bembeleza vijana waliofungua barabara ya Tunduma-Dar es salaam, kwa madai ya kuwa gali za serikali tu zinazouziwa mafuta katika kituo pekee kinachouza mafuta katika jiji...
Leo ni siku ambayo Wamarekani wanaanza kupiga kura kumchagua raisi ambaye ataongoza taifa hilo lenye nguvu duniani kisiasa na kiuchumi kwa kipindi kingine cha miaka 4,swali ni je,kati ya Mitt...
Ivi njie REDDS ndo zawadi gani ya kumpa MISS TANZANIA eti NOAH, kwakweli zawadi haijjafanana na hadhi ya mashindano na gharama ya kiingilio Tsh laki moja< mnashindwa kuona wezenu walitoa zawadi ya...
:confused3:Asubuhi ya leo napita pale samaki mbezi beach nimeona mtu yuko vipande vipande hatazamiki akiwa ameshapoteza uhai
watu wakimwangalia kwa mbali maana hata kumwangalia ni inahitaji moyo.
Hivi utaratibu wa kuingia Law school ni upi? maana tunaona mwenzetu mmoja mtoto wa kigogo (Six) tumemaliza naye Bachelor of Law Tumaini university Iringa, hata kabla majibu hayajatoka tayari...
By Dickson Ng`hily
6th November 2012
Email
Print
Comments
Janeth Mbene
Finance and Economic Affairs deputy minister Janeth Mbene has refuted claims that the government of...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.