Redds miss tz

Redds miss tz

vickete

New Member
Joined
Sep 25, 2012
Posts
2
Reaction score
3
Ivi njie REDDS ndo zawadi gani ya kumpa MISS TANZANIA eti NOAH, kwakweli zawadi haijjafanana na hadhi ya mashindano na gharama ya kiingilio Tsh laki moja< mnashindwa kuona wezenu walitoa zawadi ya aina gani ilimuendelee pale walipo ishia? au brigitte alikwambia ana nursery kwaiyo anataka school bus? mmmmmh ril disappointed tena kibaya zaidi with ur slogan eti Redds"onyesha urembo wako". Wezenu watoe zawadi hadi za milion 72, gari aina ya jeep nyie mwatuletea Noah! kiukweli umeshusha hadhi ya mashindano! wakati ndo kwanza nyie mmeanza kuwa wazamini rasmi.
 
Back
Top Bottom