inasikitisha kuona watu wa mikoani wanalishwa viporo vya magazeti,wakat kuna usafiri wa ndege na ni wa haraka kufikisha ayo magazeti
Wanafocus faida zaid,so wanatumia minimal costs ili wapate maximum income ,tatizo inakula kwa wateja!
Mawazo yako yako nyuma sana. hakuna ndege inayotoka dar na kufika bukoba alfajiri, pia hata hayo ambayo yanachelewa sasa mengi yanakuja kwa ndege, ama moja kwa moja.inasikitisha kuona
watu wa mikoani wanalishwa viporo vya magazeti,wakat kuna usafiri wa
ndege na ni wa haraka kufikisha ayo magazeti
Wanafocus faida zaid,so wanatumia minimal costs ili wapate maximum income ,tatizo inakula kwa wateja!
Mawazo yako yako nyuma sana. hakuna ndege inayotoka dar na kufika bukoba alfajiri, pia hata hayo ambayo yanachelewa sasa mengi yanakuja kwa ndege, ama moja kwa moja.
Baada ya miaka mingi ya kulishwa 'viporo'vya habari,magazeti ya kampuni ya Mwananchi ya tarehe ya leo yameonekana live alfajili katika mitaa ya Bukoba.Bado nadadisi njia iliyotumika kuyafikisha mapema.
Hujambo miss!?
Wanafocus faida zaid,so wanatumia minimal costs ili wapate maximum income ,tatizo inakula kwa wateja!