VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,007
Ni katika mkutano wa Baraza la Mawaziri la Uturuki katika makazi ya Waziri Mkuu,Tayip Eldowan.
Mawaziri wawili walitishiana bastola kwa kufyatua kabisa. Walikuwa wakipondana kwa hoja kikaoni.
Usalama ukaimarishwa haraka.Hakuna majeruhi...