Kwa njisi harufu kali itokayo kwenye mitaro ya barabarani. Walahi waweza sema umepigwa na yai viza ukipita hapo. Manispaa ya temeke naomba ifanye utafiti wa jinsi ya kuweza kuzuia wafanya biashara...
Aliekuwa Kamishna wa Bodi ya Mapato Zanzibar yuko matatani baada ya Kamisha mpya kukuta kuwa bajeti kubwa ya pesa za walipakodi ilikuwa ikitumika kufadhili movements za Uamsho.
Inasemakana...
Habari kutoka chanzo cha kuaminika zinasema Sheikh Soraga amemwagiwa tindi kali na watu wasiojulikana asubuhi ya leo wakati akiwa katika mazoezi.
hivi sasa inasemekana yuko njiani kuelekea Dar...
NIMEKUWA NIKIHUDHURIA NA KUSHIRIKI MIJADALA MBALIMBALI YA KISIASA AMBAPO MIONGONI MWA MAMBO MENGINE NI MIJADALA JUU YA VIJANA KUTUMIWA KISIASA NA VYAMA FULANI AU MWANASIASA MMOJAMMOJA.VIJANA...
Kwa muungano imara tuwe na nch moja yenye mikoa na rais mmoja.kila seheu ya muungano iwe sawa na sehemu zingine za nchi kiusawa,kusiwe na kutafuta uwakilish/au zamu maana ndiyo chanzo cha matatizo...
Breaking News:Mwandishi wa Habari wa Gazeti la Tanzania Daima Charles Jacob amejeruhiwa vibaya baada ya kugongwa kwa makusudi na gari wakati akifuatilia malori aina ya Fuso 12 yaliyokuwa...
wadau nimemsikia mwenyekiti wa CCM akisema tumekuwa tukilipa kodi kwenye jengo la chama toka mwaka 1973 huku CCM ikitamba kuhamisha makao makuu ya nchi kwenda Dodoma.
Akasema pia ataweka jiwe la...
Kwa mujibu wa Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini ya 2004 inaruhusu wafanyakazi kuanzisha Vyama vya Wafanyakazi katika maeneo yao ya kazi na vigezo vimebainishwa wazi. Baadhi ya wafanyakazi kwa...
Hebu tuitazame kwa kina kama itatuingia akilini!
1)Wale njiwa waliachiwa kama ishara ya ufunguzi kila mmoja alinunuliwa Tsh. 16,000/=
2)Original Komed kutoka Dar malipo ni Tsh,12,000,000/=...
Wanabodi,
Vyama vikongwe afrika vingi vilishasambaratika mfano nzuri KANU.
Kwa Tanzania huu ni mwaka wa 51 CCM bado ni chama ambacho hakijasambaratika. Unaweza kusema kina matawi kuanzia ngazi...
I think some individuals simply live a life of envy and can't or rather chose not to be content and gracious for the opportunities that land, no pun intended, their way....some people get madaraka...
Kijana mmoja aliyetambulika kwa jina la Henry amejikuta mikononi mwa vyombo vya dola baada ya kumchoma mkewe sehemu mbalimbali za mwili kwa kutumia pasi na kumuua mtoto wake wa mwaka...
SHEIKH FADHIL SORAGA WA ZANZIBAR AMWAGIWA TINDIKALI NA WATU WASIOJULIKANA - APELEKWA MUHIMBILI KUTIBIWA.
Katibu wa Mufti wa Zanzibar Sheikh Fadhil Soraga akitolewa katika Chumba cha...
Nasikia alama ya TWIGA ilikuwa ndio alama ya Tanzania,ndio maana hata shirika la ndege liliweka kwenye ndege zake,hata Noti za Tanzania ziliweka watermark ya Twiga.
Kenya wao alama ya simba ndio...
Hivi Tanzania kuna siku wapinzani wataweza kuung'oa madarakani utawala wa CCM na Watanzania kuongozwa na upinzani kama ilivyotokea Zambia, Senegal na kwingineko? Tatizo la vyama vya upinzani ni...
Nianze kwa kuwapongenza ITV kwa juhudi za kuchangisha watanzania wenye mapenzi mema kwa ajili ya wenye matatizo mbalimbali. Leo kwenye taarifa ya habari wamemtembelea Bi. Jenifa, mwathilika wa...
baada ya kazi ya kuwakamata''wauaji' wa kamanda barlow natumaini speed iliyotumika kuwakamata wauaji hawa itatumika pia kuwatia hatiani na hatimaye speed hiyo hiyo itatumika kutekeleza adhabu ya...
Kuna ajali imetokea maeneo ya kibamba darajani ambapo magari mawili ya mizigo yamegongana na kublock njia.Kuna foleni ya kufa mtu kuanzia kibaha mpaka mbezi.Mlioko city center nawashauri mlaze...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.