Ajali! Arusha express yapasuka tairi na kupinduka

Ajali! Arusha express yapasuka tairi na kupinduka

Kitaeleweka

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2012
Posts
394
Reaction score
88
Basi la Arusha express linalofanya safari kati ya Dodoma na Arusha limepinduka eneo la Makuyuni kutokana na kupasuka tairi ya mbele. Hakuna vifo ila majeruhi wapo. Vyombo husika mnaombwa kufika kutoa msaada kwani mpaka tunatoka eneo la tukio alikuwepo mjeshi mmoja wa JWTZ akisaidiana na wananchi. Basi letu limechukua most of casualties though wale waliokua serious hawakuweza kuchukuliwa kwa bus.

Immediate response pls.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Poleni sana ndugu. JK sibado uko Dodoma' fanya hima, tuma helikopta ikawasaidie ndugu zetu bana.
 
polisi imejipanga vizuri,ajali kama hili haitatokea tena!RPC arusha
 
Ajali zinahitaji elimu kwa jeshi drivers na wananchi na govt iwe serious kuimpliment sheria. Timetables za safari hazifuatwi kabisa muda wanaopoteza vituoni hufifiwa kwa high speed. Kuna majeruhi mmoja kweli hali yake ni mbaya mguu haufai na usoni kaaribika mbaya. Let's pray for him as we don't knw how injured he is internally.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Poleni sana wote mliopata ajali!😱😱😱
 
Hili basi ni chombo cha kazi kweli kweli maana nalijua vema katika rangi yake ya kijani na mistari kama blue mpauko ubavuni,ninaweza kusema kwa mwendo ninaifananisha na haya mabasi ya Costline na ndiyo wapo kwenye mchakato mmoja njia hiyo! Ninawapa pole majeruhi wote na MUNGU awape nguvu!
 
Hivi jeshi a Polisi huwa halina mtu hapa Jamii forum wa kujibu baadhi ya Maswali?. Mbona kimya
 
Nina hofu ya kwamba humu wapo ila wanachungulia tu na kukimbia maana maovu wanayoyafanya ya kupenda rushwa bila shaka inawatouch nafsi zao sana!
Poleni wahanga wote wa ajali!


Hivi jeshi a Polisi huwa halina mtu hapa Jamii forum wa kujibu baadhi ya Maswali?. Mbona kimya
 
Hivi jeshi a Polisi huwa halina mtu hapa Jamii forum wa kujibu baadhi ya Maswali?. Mbona kimya

Hata kama yupo anaweza asiwe na ujasiri wa kujibu....lakini kuna wachache kama......(ukiniruhusu nitakutaja)..huyu ana ujasiri mkubwa na hivi ninavyoongea yumo humu jamvini...Mkuu si unanifahamu Thanda?..tulikuwa wote Pale kipepeo beach resort,kigamboni?

Hebu kumbuka hili tukio: Tulipohama baada ya kuambiwa na yule"jini" mahali mlipopaki sio sahihi...hili ni eneo langu la parking?"

 
Poleni wote mliofikwa na ajali.. Mungu awasaidie na kuwapa ahueni.. Kila mwananchi acheze nafaci yake katika kupunguza ajali hizi...
 
poleni majeruhi...mungu awape nguvu na mpone haraka...
 
nyombo vya usalama vijitahidi sana kusimamia usalama barabarani, hasa kipindi hiki cha dec ajali nyingi ni za uzembe wa madereva. Poleni sana majeruhi.
 
Back
Top Bottom