Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,184
Dhana ya Tanzania kisiwa cha amani na kauli za watawala wa nchi kwamba watailinda na kuidumisha amani kwa nguvu zote nadhani sasa havina mashiko na practicality zake ni utata mtupu.
Kuna clip ya video inasambaa kwenye mitandao ya kijamii na mtandao wa Bluetooth inaonesha vikongwe katika mkoa flani hapa hapa Tanzania wakiteswa kwa kupewa vipigo, mbele ya wanakijiji. Wabibi na wababu wale wanaonekana wakishambuliwa kwa mateke na fimbo kiasi cha kupoteza fahamu na hatimaye tukio baya zaidi linatendeka juu yao . . . wanachomwa moto. Ati ni wachawi?
Labda ndiyo bomu alilowahi kusema mzee lowassa. vijana hatuna ajira, sasa tupo tayari kufanya lolote ili na sisi tuonekane tunafanya kazi. hakika inatisha. nimeshindwa kui-upload kwa sababu za limitation ya bandwidth . . . ina 16MB.
Nchi hii kuna amani? mwenye nakala ya hiyo video aiweke, jamii ya wana-JF ione.