Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 10,512
- 16,735
Upepo wa mabadiliko unaoikumba dunia sasa unavuma ndani ya Ulaya na Marekani.
Tujaalie upepo huu unaweza kuisambaratisha Marekani,taifa lenye nguvu duniani na yaliko makao makuu ya Umoja wa Mataifa(UN).Kusambaratika huku kukawa kama ilivyotokea kwa Urusi (USSR) na inavyotokea kwa mataifa mengine hivi sasa.
Ikitokea hivyo hivi Umoja wa Mataifa utaendelea kuwepo,na jee ulimwengu bado unauhitaji umoja huo?.