Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,933
Tanzania tuna hazina ambazo wengi wetu bado hawajui na pengine wahusika hawaja zitangaza kazi za mikono yao.
Furniture hizi tofauti na zile za pale Chan'gombe na kwengineko ambako huunda furniture kwa kutumia mbao zisizokauka na hivyo baada ya siku chache kuanza kupiga muziki.
Huu ufundi ni komesha ubishi, wa kiwango cha kimataifa na pekee sana hapa nchini mwetu kwa kiwango cha finishing ya hali ya juu, ubora na kwa kutumia mbao zilizokauka kwa kiwango cha kitaalumu kinavyotakiwa na hivyo furniture kudumu muda mrefu.
Furniture hizi ni pambo maridhwa kwa nyumba iliyokamilika.
Hizo rangi zinazojitokeza si za kupakwa bali ni"
Inlay work kwa kutumia mipande vya miti ya mpingo na mwingine rangi nyeupe nimesahau jina lake for good.
Jamii Forums mnatoa comment gani kwa finishingi hii? Hazijatoka nje ni hapa hapa Tanzania zimetengenezwa na wazao.